Edward Lowassa na Ole Sendeka sasa ni marafiki!

Ukiwa mwanachama wa CCM sikuzote huwazi kwa kutumia akili.
sikutegemea kabisa kama Ole Sendeka na yeye angetumia makalio kwenye hili sakata la Lowassalism[/QUOTE Acha kuwaza kama kunguru , wana CCM hawako hivyo ufikiriavyo wewe mfuasi wa chama cha mgambo,aliyekwambia ndani ya CCM kuna makundi ni nani?unavumisha maneno ili kuwavuruga wana CCM,sikia siku zote wana CCM ni wamoja na hiyo ndiyo siri yao ya mafanikio na ushindi,safi sana wana CCM kwa umoja na mshikamano mlionao hakika ushindi unakuja,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!
 
Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee
RED - That is the big point.
 
Usiwape moyo, 2015 hata kwa kuiba haitawezekana.................. Huoni ni jinsi gani hasira zinavyowapanda ukitamka anguko Arumeru!! Kwa sasaCCM wanapiga mateke kama ya punda anayekufa!!!

Ha ha ha ha ha ha,bila shaka wewe ni zero kweli kweli kama unawaza kuanguka kwa CCM imekula kwako,kama ulifuatilia vizuri uchaguzi wa mwaka 2010,CCM ilipoteza baadhi ya majimbo kwa sababu ya migongano yao wenyewe wakati wa uchaguzi kwa sasa wanajua hilo ndiyo maana umoja na mshikamano viko juu bila kujali tofauti za kiubinadamu walizonazo,alafu ebu fikiria kama ni kuanguka ingeanguka wakati wa uchaguzi mkuu 2010 kutokana na kashfa mbali mbali walizotupiwa baadhi ya viongozi wa serikali yake lakini pamoja na yote hiyo watanzania bila hiyana wakaichagua CCM hiyo hiyo,bila shaka wewe ni young politician hujuhi kitu,sahau kuanguka kwa CCM , utaanguka wewe na chama chako cha mgambo lakini si CCM!
 
huenda ni sifa mojawapo ya kuwa nayo kabla hujapewa kadi ya uanachama

CCM ni chama chenye sera nzuri,zinazoeleweka na kutekelezeka hii ndiyo siri ya ushindi na mafanikio yao siku zote hawana sera za majitaka kama chadema,wamezoea uzushi,uongo,uchonganishi,majungu,mipasho,matusi,lawama wawapo majukwaani badala ya kunadi sera zao,watanzania hawapendezwi na tabia hiyo ndiyo maana baada ya kuwagundua wanawanyima kura!
 
Watu wengine bana Ole Sendeka ni CCM wewe unataka ampigie kampeni mgombe wa Chadema ni sawa sawa umwambie Slaa ampigie kampeni mgombea wa TLP Arumeru.
 
Samawani kwa kuwa nje ya mada, hivi diblo diballa na daly kimoko nani zaidi!!!
 
CCM ni chama chenye sera nzuri,zinazoeleweka na kutekelezeka hii ndiyo siri ya ushindi na mafanikio yao siku zote hawana sera za majitaka kama chadema,wamezoea uzushi,uongo,uchonganishi,majungu,mipasho,matusi,lawama wawapo majukwaani badala ya kunadi sera zao,watanzania hawapendezwi na tabia hiyo ndiyo maana baada ya kuwagundua wanawanyima kura!

ccm mna miaka 35, chadema. . . , leo mnajipima kwa chadema, yaani kipimo cha ubora ishakuwa chadema, hongera WATANZANIA KUIKUBALI CHADEMA.
 
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.

Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.

Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.

nani kama Lowassa???

Njaa mbaya! Kwa mjinga unaweza hata kumfanya kitu mbaya dingi yako ili kupooza njaa!
 
Watu wengine bana Ole Sendeka ni CCM wewe unataka ampigie kampeni mgombe wa Chadema ni sawa sawa umwambie Slaa ampigie kampeni mgombea wa TLP Arumeru.
Mkuu hawa jamaa kuwa ccm ni moja tu
 
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.

Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.

Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.

nani kama Lowassa???

Kwanu hujui yule ni mganga njaa tu kama wengine
 
ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa ccm siyo za lowasa. Mbona chadema kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la zito. Dr slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema bwana mkbwa mbowee
wewe pia ni ubwabwa wa loasa.lazima mtetee mumeo.
 
Siku zote ukiwa ccm lazima uwe kwa masilai au uwe mjinga.so kila mmoja alie ccm ajichunguze yeye yupo wapi ila kwa ninavo faamu wengi niwajinga.
 
Hata hapo cdm wajinga wapo shazi na ndo maana kuna wanaondamana kwa jasho lao na wengine wanaandamana kwa malipo'kalaghabao
 
Jamani wana JF msitishwe na hawa watu hivi CCM kuna mtu mwenye msimamo wote wanasumbuliwa na njaa tu yaani leo ndo mm mwenyewe nimeona aibu kwa kuzingatia Ole Sendeka ni mbunge wa jimbo langu ingawa nimewaonea huruma wazazi wangu kwani walichagua chama na mtu wa kuwawakilisha Noma sana.TAKE HOME MESSAGE (CCM NJAA ZITAWAPELEKA KUBAYA)
 
Back
Top Bottom