Edward Lowassa na Ole Sendeka sasa ni marafiki!

olesendeka anajua kuwa lowassa ana ushawishi mkubwa na nguvu kubwa kuliko jk,.kama mtu ana nguvu kuliko rais basi yeye ni rais kasoro tu haishi ikulu..olesendeka hawezi kupingana na rais,wakina sitta ni ujeuri wa uzee tu huo mwisho wa siku watampigia magoti fisadi lowassa.
 
Tatizo anakurupuka huyo mseng*, kihistoria, Lowassa na Sendeka ni vitu viwili tofauti kabisa!

fungua akili mkuu . Siasa haina rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu . Cha msingi unaangalia nguvu ipo wapi.
 
Hv Ole Sendeka alikua na kesi dhidi ya mtu gani kwa kumtishia silaha na kumpiga? "hauwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja,Mungu na Pesa,hata siku moja!chagua bwana mmoja tu"
 
Du! Yangu macho! Ni huyuhuyu Sendeka aliyekua anapinga ufisadi wazi wazi mpaka anatoka mapovu! EL ana nguvu za ajabu.
 
Huyu Mzee ni mnafiki sana. Aliwahi kumuua Tundu Lissu. Siku nyingine kaanza kumsifia. Ni mchumia tumbo hana lolote. Na mwisho wake wa ubunge ni 2015 ndio atamjua lowasa ni nani
 
olesendeka anajua kuwa lowassa ana ushawishi mkubwa na nguvu kubwa kuliko jk,.kama mtu ana nguvu kuliko rais basi yeye ni rais kasoro tu haishi ikulu..olesendeka hawezi kupingana na rais,wakina sitta ni ujeuri wa uzee tu huo mwisho wa siku watampigia magoti fisadi lowassa.

sendeka hata siku moja hawezi kujiunga na kambi ya lowasa,sendeka ameenda ARUMERU Kukisaidia chama na sio kumsaidia Lowasa
 
Kampeni za uchaguzi jimbo la Arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher Ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya EL kuhakikisha mgombea wao Sioi anashinda.

Ole Sendeka ameamua kwenda Arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi Sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.

Kwa hali hiyo Ole Sendeka amejitenga na kundi la Sitta na sasa ameungana na Beatrice Shelukindo katika kuhamia kambi ya Lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe Mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya Lowasa.

nani kama Lowassa???[/QUO


mtoa mada unanifurahisha sana ajiunge mara mbili kwan nani alikudanganya kuwa anampinga???? hawez hata sikumoja coz yule ni ndugu yake wa damu hivyo anapigania jimbo ili mkwe apatenafasi ha ha haaaaaa upo hapo
 
kampeni za uchaguzi jimbo la arumeru mashariki zitaibua mengi mwaka huu. Christopher ole sendeka aliyekuwa mmoja wa wanamgambo wa ufisadi sasa amejifunga kibwaya na kujiunga na kambi ya el kuhakikisha mgombea wao sioi anashinda.

Ole sendeka ameamua kwenda arumeru kuongeza nguvu na jana alipanda jukwaani kumnadi sioi na kusema hhuyo ndie mkumbozi pekee wa wameru na amekula yamini kumuunga mkono hadi ushindi upatikane.

Kwa hali hiyo ole sendeka amejitenga na kundi la sitta na sasa ameungana na beatrice shelukindo katika kuhamia kambi ya lowasa ambayo imo katika vita baridi kuwania urais 2015. Ikumbukwe mama shelukindo na mumewe walikuwa kambi ya sita before 2010 lakini baada ya uchaguzi mkuu mama huyu akaingia kambi ya lowasa.

Nani kama lowassa???

haki ya nani ufisadi una nguvu!!! Akili zako changanya na zakeee!
 
sendeka hata siku moja hawezi kujiunga na kambi ya lowasa,sendeka ameenda ARUMERU Kukisaidia chama na sio kumsaidia Lowasa

Hata hivyo, walikuwa na kikao cha pamoja na makada pale Zebra, Manyara Wilayani Karatu Alhamisi, Machi 8.
 
Jimbo analowakilisha Ole Sendeka ni miongoni mwa jimbo lenye utajiri mkubwa Tanzania; Tanzanite, mifugo, sehemu za kuwinda. Lakini hakuna wananchi wenye shida kama wa hili jimbo la Ole Sendeka. Mzee huyu wa kimasai amezidi kunawiri huku wapiga kura wake wakitimuliwa vumbi na 'wawekezaji'! Leo hii anapata wapi ujasiri wa kusema kuwa mgombea wa ccm ndiye dawa ya matatizo ya wana-arumeru? Kwanza anayajua hayo matatizo? na pili ni dawa ya matatizo kivipi? kwa kunawiri?
 
olesendeka anajua kuwa lowassa ana ushawishi mkubwa na nguvu kubwa kuliko jk,.kama mtu ana nguvu kuliko rais basi yeye ni rais kasoro tu haishi ikulu..olesendeka hawezi kupingana na rais,wakina sitta ni ujeuri wa uzee tu huo mwisho wa siku watampigia magoti fisadi lowassa.

sendeka hata siku moja hawezi kujiunga na kambi ya lowasa,sendeka ameenda ARUMERU Kukisaidia chama na sio kumsaidia Lowasa
 
Title ya thread hailingani na yaliyoandikwa....anyway inawezekana kuna kitu nyuma ya pazia...hata hivyo inapofika wakati wa kutetea ushindi wa CCM katika uchaguzi wowote nadhani wanahitaji kuwa kitu kimoja and this is what Ole sendeka is doing.


Hapo kwenye Red kuna walakini. Mbona Nape alizuiwa kwenda Igunga? na sasa nasikia AM haendi pia? au huyo sio kiongozi wa CCM tena katibu wa itikadi na uenezi?
Ukiwa mwanachama wa CCM unaenda kama sanamu la Michelin. Tumbo mbele akili nyuma
 
Ondoa ujinga wako hapa. Kampeni ni za mgombea wa CCM siyo za Lowasa. Mbona CHADEMA kuna makundi na hamusemi? Kuna kundi la mbowe na kundi la Zito. Dr Slaa yupo kama popo tuu kila kitu yeye anakubali tuu hasa analolisema Bwana Mkbwa Mbowee
Mnapenda sana muone siasa za makundi CDM, ili ati muisambaratishe kama hao wengine. Huku mmechemsha, woote ni watoto wa baba mmoja, mama mmoja. Watoto wa kambo wako huko kwenu. Hata hao vibaraka mnaojaribu kuwapandikiza humu wamechemsha. Hili ni chama la wazalendo, wasomi wa kweli wasiobabaika na chips kuku!!!
 
acha hasira mkuu, bado Nape tu naye soon atajiunga na kambi ya lowasa kwa ajili ya mkate wake wa after 2015

Usiwape moyo, 2015 hata kwa kuiba haitawezekana.................. Huoni ni jinsi gani hasira zinavyowapanda ukitamka anguko Arumeru!! Kwa sasaCCM wanapiga mateke kama ya punda anayekufa!!!
 
Back
Top Bottom