Elections 2010 Edward lowassa gombea urais 2010 please

prosperity93

Member
Sep 1, 2009
58
28
Bwana EL nakuomba mwaka huu 2010 uwe zamu yako kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na niko tayari kukupa kura yangu. Sio kwa sababu wewe ni msafi sana ila una unafuu zaidi ya kaka JK. wewe ni mchapa kazi sana na tunaitaji viongozi kama wewe ambao hata picha yako tuu inawafanya watendaji wa nchi waigope hivyo kuwatumikia wananchi kwa bidii zaidi. Scandal zote ulizopata inaonyesha jinsi ulivyo komaa kisiasa kuweza kubeba dhambi za wengine hasa za utendaji usio ridhisha wa Mh JK.
Najua morani kwa sehemu kubwa ni watu waadilifu sana....ukishika hii nchi hata ukila najua huwezi kumaliza kabisa....at least tutapiga hatua kimaendeleo na sio utalii usiohisha wa kaka yako ambao hauna tija kwa nchi zaidi yakuwanufaisha wachache .
Mwombe Jk zamu hii iwe yako kupokea kijiti cha kuongoza nchi
Please chukua form ya Urais kupitia CCM muda ukifika, nitakupa kura yangu na niko tayari kukufanyia kampeni....
 
Hivi miongoni mwa watanzania wooote zaidi ya milioni 35 hakuna anayefaa mpaka tung'ang'anie makapi?

MG,
Mleta hoja anajribu kuchokoza mjadala uliopitwa na wakati, Lowasa ni loast case, hastahili hata Ubunge na wakimpa ni haki yao kufanya hivyo lakini watabaki kuwa kichekesho cha mwaka!
 
Haitakaa kutokea hilo na pia kwa sasa siasa ambazo CCM wanafanya ni kwamba wanataka kuwa na mgombea pekee ni JK lakini mimi nafikria kuwa kama kweli wana Demokrasia basi waache wengine nao waingie kwenye mchuano huo
 
jamani watu wanamjadili mlarushwa , mfilisi nchi kuwa Rais, ni ndoto za mchana. Hakuna kitu kingine cha kujadili au ndio upepo unapimiwa hapa JF?
 
Jambazi Fisadi Lowassa labda akagombee Unyapara wa Jela maana ndio anastahili kuwepo huko.
 
naona unajaribu kuchokoza reactions zetu. Hizi threads kumhusu huyu fisadi zinletwa mara kwa mara hapa. Mkubwa, mpe tu hiyo kura yako moja na ikiwezekana akuteue uwe mwenyekiti wake wa kampeni. Akigombea atapata hizo mbili tu, najua hata mama Regina atamshangaa!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom