Edward Lowassa: Chui wa makaratasi

Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya Richmond na mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa si chochote kama anavyotaka tuamini. Ni chui wa wakaratasi, ni mbwa anayebweka sana lakini hakika hawezi kung'ata. Ni mwigizaji by profession na maisha yake yote ya kisiasa amekuwa anaigiza na kuna watu wa kutosha wanaoamini maigizo haya ni halisia! Of course alisoma degree ya "Theater Art"

Anajua fika hawezi kuwa rais wa nchi hii, afya yake haimruhusu na hawezi kuteuliwa na chama chake licha ya ukweli kwamba hata akiteuliwa uwezekano wa chama chake kushinda Urais kwa wapiga kura na mwamko utakaokuwepo 2015 ni mdogo na yeye anafahamu hilo. Swali: Kwanini anajifanya urais anautaka wakati anajua kamwe hili haliwezekani? Ili kuendelea kuwa relevant lazima atuaminishe anaweza kuwa raisi wa nchi hii siku moja, hicho kinafanya wajinga kadhaa wambabaikie na anakusudia kuliendeleza hilo kwa kipindi. Siku akisema hautaki uraisi he is finished!

Nikiangalia juzi alivyokuwa akihangaika kupenyeza pesa ya kuhonga wajumbe Arumeru Mashariki na namna ambavyo alilazimika kutumia watu wa Monduli zaidi nabaini hana mtandao mkubwa kama nilivyodhani awali. Ndio ana watu wake ndani ya CCM na serikalini aliowaweka katika kipindi chake kifupi cha uwaziri mkuu lakini nje ya hapo he is almost nothin! Nafahamu juhudi zake kuwanunua baadhi wa watu CDM lakini hazitafanya kazi. Nje ya CCM na serikalini hana lwake na ataendele akuanguakia pua kama alivyoangukia pua alipojaribu kumweka Batilda Arusha mjini.

Karibu Arumeru Mashariki Edward!

...wasalaam walekyum nduguz
kwa udadisi fiiiiiinyu ambao sitasumbukia kuudadavua kaaa nasikia arufu ya nape imepita hapa,wewe umemuona?hahaha.
africa kabisa,tanganyika kaposa.
 
idioms hazitafsiriwi kutoka lugha moja kwenda nyingine neno kwa neno na kutegemea italeta maana ile ile. Kwenye kiswahili hakuna kitu kama "chui wa makaratasi."

Hivyo eeh?

Sasa vipi kuhusu "prevention is better than cure" na "kinga ni bora kuliko tiba"? Manake hapo ni neno kwa neno na maana ni ile ile. Au hizi sio idioms na hazina maana sawa?
 
Hivyo eeh?

Sasa vipi kuhusu "prevention is better than cure" na "kinga ni bora kuliko tiba"? Manake hapo ni neno kwa neno na maana ni ile ile. Au hizi sio idioms na hazina maana sawa?
kwanza kabisa "prevention is better tha cure" is not an idiom, but an aphorism or english proverb, ambazo ni rahisi kuleta maana zikitafsiriwa neno kwa neno, lakini si zote. Jaribu "hindsight is always twenty-twenty"!

Na pia idioms zetu nazo hazitafsiriki kiingereza. Mzungu anaejifunza Kiswahili akisema Juma has a hand of a kettle akimaanisha nina mkono wa birika, yani mnyimi, greedy, hatutamwelewa, atachekwa, na mzungu hathubutu kukubali kubalidisha idioms za kiswahili kuzipeleka kwenye kiingereza, lakini sisi ndio wa kwanza kurukia idioms za wenzetu kuzileta kwenye kiswahili.

"Chui wa makaratasi" ni makorokosho yasiyo na maana yeyote kwa mswahili.

Ataeleweka akisema "Edward Lowassa: Joka la kibisa."
 
kwanza kabisa "prevention is better tha cure" is not an idiom, but an aphorism or english proverb

Alaaaa, kumbe eeeh?!!!!!

Haya hebu bishana na Oxford Advanced Learner's Dictionary

the act of stopping something bad from happening

accident/crime preventionthe prevention of diseasea fire prevention officer

Idioms

prevention is better than cure
(British English) (US an ounce of prevention is better than a pound of cure) (saying) it is better to stop something bad from happening rather than try to deal with the problems after it has happen

Oxford Advanced Learner's Dictionary
 
Mimi namuona mh EL ni kiongozu tunayemuhitaji zama hizi. Achilia mbali hizo kashfa anazobebeshwa. Kiukweli EL ndiye anayefaa kuwa rais wa nchi hii. Unafikiri ni kwa nini JK anashindwa kuiongoza serikali yake? Jibu ni rahisi sana ni kwa kuwa mtendaji mkuu hana. Alipokuwepo EL serikali ilikuwa ina uhai sana kabla ya yeye kujiuzulu. Hata JK analijua hili na anajuta sana kumkosa EL kwenye serikali yake!

EL ni president material na hilo lipo wazi kabisa. Aluta continua mh EL sisi watz wapenda maendeleo twakuhitaji sana na tupo na wewe bega kwa bega!
Well said!
 
Waziri mkuu aliyelazimishwa kujiuzulu kwa kashfa ya Richmond na mbunge wa Monduli Edward Ngoyai Lowassa si chochote kama anavyotaka tuamini. Ni chui wa wakaratasi, ni mbwa anayebweka sana lakini hakika hawezi kung'ata. Ni mwigizaji by profession na maisha yake yote ya kisiasa amekuwa anaigiza na kuna watu wa kutosha wanaoamini maigizo haya ni halisia! Of course alisoma degree ya "Theater Art"

Anajua fika hawezi kuwa rais wa nchi hii, afya yake haimruhusu na hawezi kuteuliwa na chama chake licha ya ukweli kwamba hata akiteuliwa uwezekano wa chama chake kushinda Urais kwa wapiga kura na mwamko utakaokuwepo 2015 ni mdogo na yeye anafahamu hilo. Swali: Kwanini anajifanya urais anautaka wakati anajua kamwe hili haliwezekani? Ili kuendelea kuwa relevant lazima atuaminishe anaweza kuwa raisi wa nchi hii siku moja, hicho kinafanya wajinga kadhaa wambabaikie na anakusudia kuliendeleza hilo kwa kipindi. Siku akisema hautaki uraisi he is finished!

Nikiangalia juzi alivyokuwa akihangaika kupenyeza pesa ya kuhonga wajumbe Arumeru Mashariki na namna ambavyo alilazimika kutumia watu wa Monduli zaidi nabaini hana mtandao mkubwa kama nilivyodhani awali. Ndio ana watu wake ndani ya CCM na serikalini aliowaweka katika kipindi chake kifupi cha uwaziri mkuu lakini nje ya hapo he is almost nothin! Nafahamu juhudi zake kuwanunua baadhi wa watu CDM lakini hazitafanya kazi. Nje ya CCM na serikalini hana lwake na ataendele akuanguakia pua kama alivyoangukia pua alipojaribu kumweka Batilda Arusha mjini.

Karibu Arumeru Mashariki Edward!

Hivi kuna watu bado wanahangaika na lowassa???lowassa is a dead person kisiasa,kimkakati na kiafya ndio maana wenye akili siku hizi tulishaachaga hata kumzungumzia,si tishio kwa yeyote tena,hana mbinu alikua akimtegemea sana mburushi na mburushi hataki hata kusikia neno "siasa" ndio maana akaibuka na strategy ya kupita pita makanisani kwa wakatoliki kwa ushauri wa think tank lake jipya Peter Serukamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom