Edward Lowasa hana Madhara tena Nje ya CCM

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,775
102,132
Sasa tunaweza kusema wazi kwamba mzee wa ''vijana ni bomu'' hana madhara tena hasa nje ya CCM. Ni kama Simba aliyeng'olewa meno na kucha na kuwekwa katika mabanda ya sabasaba na kila mtu kuweza kumpapasa kadri ya ujasiri wake. Hali imekuwa mbaya zaidi huko Arumeru baada ya CHADEMA kumuonyesha kuwa nguvu ya pesa haiwezi kuwa zaidi ya Nguvu ya Umma, Hongera CHADEMA. CHADEMA ni wanaume wa nguvu, tofauti na Edward ambaye amewekeza zaidi kwenye siasa za KUVIZIANA makanisani na kwenye makundi ndani ya chama. Hapa nakumbuka alipotua toka Ujerumani na kauli yake kwamba ''mapambano yataendelea''. Je EL amekosa ujasiri kiasi cha kushindwa hata kuweka wazi ni aina gani ya mapambano anayofanya,je hii sio kuvisiana?

Kushindwa kukata kiu ya Watanzania juu ya ushiriki wa JK katika Richmond imezidi kumpunguzia heshima kisiasa. Ule mradi wa kununua vijana kumtembelea Monduli iliishia wapi? Jamii ya watu makini (mfano Arumeru) imemkataa, mbaya zaidi hata makanisani alipokimbilia tunasikia jumba bovu linataka kumwangukia.

Binafsi namshauri apiganie uimara wa afya yake na abaki kulea wajukuu. E.LOWASA hana madhara tena nje ya CCM.
Wanamtandao Karibuni tudhibitishe hilo
 
Jirani, binafsi naamini Lowassa ndio tumaini pekee la CCM 2015.
Upo right jirani, ndo maana nikasema nje ya CCM hana madhara, kama ambavyo CDM imedhiirisha. ili kummaliza zaidi akalibie Arusha kama rufaa ya Lema itatupwa
 
Mkuu OKW, kwa hili naomba nitofautiane nawe. Mtanzania mingi kwa umasikini uliopaliliwa na Magamba kwa miaka 50 imeamishwa na ccm kuwa uchaguzi ni ajira nzuri ili kupata cape, pombe, khanga, vitenge, Tshirt na kwa sasa viatu vya kichina. Si ajabu sasa hivi sasa EL kwa kuzingatia udhaifu huu wa Mi-Tz ameagiza wachina kutengeneza kwa wingi ili aibuke Rais wa Tz.
 
CDM ni noma kwa yeyote atakayenyanyua pua yake!
Angalieni jinsi Mkapa alivyojishusha heshima yake mwenyewe.
Lowassa sina hakika kama bado ana mawazo ya urais wa 2015. Amekuwa kama mtu aliyejipaka mavi!
 
Mkuu umesahau Arumeru watu walivaa, walikula na kunywa halafu wakalala kwa CDM?
Kinachotakiwa kwa jamii iliyobaki hasa za kanda ya kati na pwani ni kueneza elimu ya demokrasia tu.
Mwishowe watavaa, watakula na kunywa, lakini mwiko kuuza haki yao kwa fadhila.
Mkuu OKW, kwa hili naomba nitofautiane nawe. Mtanzania mingi kwa umasikini uliopaliliwa na Magamba kwa miaka 50 imeamishwa na ccm kuwa uchaguzi ni ajira nzuri ili kupata cape, pombe, khanga, vitenge, Tshirt na kwa sasa viatu vya kichina. Si ajabu sasa hivi sasa EL kwa kuzingatia udhaifu huu wa Mi-Tz ameagiza wachina kutengeneza kwa wingi ili aibuke Rais wa Tz.
 
Lowassa, ni janga la taifa, ni mnafiki sana huyu fisadi mkubwa. Kuna wazee wasiojiweza wanalia na kuomba msaada kila siku, na wako kwenye kambi maalum, hao hawaoni, wala kusikia kilio chao. Ila makanisani asikoalikwa ndiko hupeleka mapesa yake yaliyotokana na ufisadi wake ili awahonge waumini na maaskofu kwa matarajio ya kuupata urais 2015. Kama kuna ndugu zake wanampenda, wamweleze aachane na ndoto za urais, watanzania tuliowengi hatumtaki!
 
Ndugu, umenigusa sana, ni kweli mkuu hivi kama huyu gamba ana hisia na maskini iweje asilione tabaka hili linalopata machungu kwa kutelekezwa na serikali yake.
 
Yeye ndio amejimaliza mwenyewe kwa wizi wake. CHADEMA walichofanya ni kuufanyia publicity tu

Kuna mtu wake wa karibu alinipa story kuwa Lowasa ni mtu hatari sana kwenye deal, hata ukimpa dili ya 50,000/= usiku wa manane atamuacha mkewe na kwenda kupigana kufa na kupona ktk hiyo deal
 
Sasa tunaweza kusema wazi kwamba mzee wa ''vijana ni bomu'' hana madhara tena hasa nje ya CCM. Ni kama Simba aliyeng'olewa meno na kucha na kuwekwa katika mabanda ya sabasaba na kila mtu kuweza kumpapasa kadri ya ujasiri wake. Hali imekuwa mbaya zaidi huko Arumeru baada ya CHADEMA kumuonyesha kuwa nguvu ya pesa haiwezi kuwa zaidi ya Nguvu ya Umma, Hongera CHADEMA. CHADEMA ni wanaume wa nguvu, tofauti na Edward ambaye amewekeza zaidi kwenye siasa za KUVIZIANA makanisani na kwenye makundi ndani ya chama. Hapa nakumbuka alipotua toka Ujerumani na kauli yake kwamba ''mapambano yataendelea''. Je EL amekosa ujasiri kiasi cha kushindwa hata kuweka wazi ni aina gani ya mapambano anayofanya,je hii sio kuvisiana?

Kushindwa kukata kiu ya Watanzania juu ya ushiriki wa JK katika Richmond imezidi kumpunguzia heshima kisiasa. Ule mradi wa kununua vijana kumtembelea Monduli iliishia wapi? Jamii ya watu makini (mfano Arumeru) imemkataa, mbaya zaidi hata makanisani alipokimbilia tunasikia jumba bovu linataka kumwangukia.

Binafsi namshauri apiganie uimara wa afya yake na abaki kulea wajukuu. E.LOWASA hana madhara tena nje ya CCM.
Wanamtandao Karibuni tudhibitishe hilo

chezea pipozzz....weweeeh utateketea chali yangu.
 
Mkuu umesahau Arumeru watu walivaa, walikula na kunywa halafu wakalala kwa CDM?
Kinachotakiwa kwa jamii iliyobaki hasa za kanda ya kati na pwani ni kueneza elimu ya demokrasia tu.
Mwishowe watavaa, watakula na kunywa, lakini mwiko kuuza haki yao kwa fadhila.

Mkuu, pia umesahau kuwa ccm imewashika masikio dini furani hapa nchini hawasikii hawambiliki?
 
Yeye keshasema yuko kwenye mapambano kuhakikisha anajisafisha na mwishowe agombee urais wa tanzania.Mimi ningependa EL awe mgombea wa ccm ili kazi kwa upande wetu iwe rahisi zaidi.
 
Mkuu, pia umesahau kuwa ccm imewashika masikio dini furani hapa nchini hawasikii hawambiliki?

Kaka usiwe kama Lowasa kuuma-uma maneno, sema wazi kuwa baadhi ya wenzetu wa misikitini. nikisema wanachelewesha ukombozi nitakuwa nakosea, niishie tu kusema hawana balance diet ya elimu ya uraia
 
mh mimi sichemi! yule binti nilikuwa namwona pale luther house aitwaye pamela lowassa sijamwona tena kwenye break fast tangu kimenuka huko arumeru
 
Hiyo dini inahitaji elimu ya demokrasia pia. Kwa jinsi ninavyoijia hiyo dini, waumini wa dini hiyo watakapoujua ukweli lazima watakwenda kuichoma moto jengo la ccm popote ilipo kwa kuwadanganya miaka yote.
Mkuu, pia umesahau kuwa ccm imewashika masikio dini furani hapa nchini hawasikii hawambiliki?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom