Educational computer game

Tosha

Member
Aug 18, 2011
72
19
Kwa heshima wanajamvini naomba msaada wa list au majina ya EDUCATIONAL COMPUTER GAMES ambazo naweza kudownload kwa kupita utorrent au vinginevyo na game hizo ziwe zinawafaa watoto wa kuanzia darasa la tano mpaka form one na zikiwa zinahusu masomo kama english,mathematics,geo n.k

tafadhari naomba msaada pia ushauri unakaribishwa
asante
 
sijui about educational games (mie fan wa fps, rpg, mmorpg na aina zingine za arcade games) ila nafikiri kama hujajaribu, unaweza kujaribu microsoft encarta.
encarta ni kama wikipedia bila internet na ina topics nyingi za kimasomo ambazo nafikiri wewe na watoto wako mnaweza kufurahia kupitia pamoja
ningekupa link ya tpb lakini inagoma kuload.
 
Asante sana kwa kunijibu ila nilikuwa nahitaji zaidi game za kishule zaidi au kimasomo masomo zaidi kwani watoto wa siku hizi wanajua kompyuta mapema japo ni basics lakini badala ya kucheza game km ZUMA nataka niwatafutie changamoto ya games ambazo zitachemsha bongo na kuwasaidia kujifunza zaid kuliko kushinda wakiangalia bongo fleva na bongo movies au tamthilia tu.

asante kwa kujali
 
Nadhani inabidi tuanze mchakato wa kutengeneza games za aina hii kulingana na mazingira ya TZ
 
Back
Top Bottom