Sangarara JF-Expert Member Sep 29, 2011 13,100 5,649 May 25, 2012 #21 Kwa hiyo wakiri wa Mpendazoe na Lema sio vichwa??
Bahati furaha JF-Expert Member Jul 11, 2012 3,030 1,384 Aug 17, 2014 #22 MwanaCBE said: Jamaa namfahamu vizuri huyu nilipiga naye kazi Songea kipindi flani ni kichwa katika sheria anatishaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! Click to expand... Natafuta contacts za huyu bwana, kama unazo au kama unajua namna ya kumpata nipm mkuu.
MwanaCBE said: Jamaa namfahamu vizuri huyu nilipiga naye kazi Songea kipindi flani ni kichwa katika sheria anatishaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! Click to expand... Natafuta contacts za huyu bwana, kama unazo au kama unajua namna ya kumpata nipm mkuu.
shalolizo JF-Expert Member Aug 6, 2013 336 203 Aug 17, 2014 #23 Ubunge songea hatausikia kwenye redio,,kapigwa mara ngapi na kitu chenye ncha kali!!!