Edson Mbogoro mpiganaji wa kweli aliyemwakilisha vema Mnyika katika kesi yake.

TUNTEMEKE

JF-Expert Member
Jun 15, 2009
4,587
579
Jina lake kamili ni Edson oswald Mbogoro.Ni mwanasheria wa kujitegemea aliyepitia machungu mengi ikiwa pamoja na kuporwa ubunge na Nchimbi kule Songea lakini bado ameendelea kuwa mpiganaji na katika kesi ya Mnyika yeye ndiye aliyeshika kesi ya Mnyika na leo kaleta furaha kwa wanamapinduzi.Bravo Mwanasheria Mbogoro.
 
Yap jamaa ni bonge moja la wakili,Ni miongoni mwa mawakili walioenda shule na wanaitumia elimu yao vizuri..
 
Jamaa namfahamu vizuri huyu nilipiga naye kazi Songea kipindi flani ni kichwa katika sheria anatishaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!
 
alinifundisha adminstrative law tumaini iringa n bonge la mwanasheeria yko fit na yuko very humble
 
Mbogoro uzuri wake pamoja na kwamba ni wakili wa kujitegemea bt bado anatumika kama mfano hapa mjini songea.
 
atakumbukwa na wana watanzania wenye nia njema na nchi hiii lakini pia tufikilie mbali zaidi ya hapa ambapo watu hupenda mda mwingi upotee mahakamani pasipo sababu za za msingi ni ahtua gani stahili dhidi upuuzi huu
 
mbogoro namfahamu sana nilimpaga kura yangu 2005 dhidi ya mchimbi jamaa anapointi sana avyoongea huchoki kumsikiliza na ni msomi wa ukweli ameporwa ubunge mara tatu mara mbili na mchimbi mara moja na Gama.lakini 2015 jimbo lake magamba wenyewe wanajua.!
 
Kama wamempora ubunge mara mbili bado anafanya nini huko CCM? kwanini usijiunge na M4C?!
 
Back
Top Bottom