cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 497
Lol!!!!!!!!! makubaliana na hili kabisaaaaaaaaa....ebwana eee, sisi tunabipu kila kitu, kufanya kazi, uaminifu, hata kula lazima ubipu!
juzi mukubwa ya ikulu aliwabip wachina wakamwaga mayeboyebo kibao ikulu, eti msaada wa mafuriko.