Economic recession inawaathiri vipi mlioko Ulaya?

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Kwa wale mlioko marekani na ulaya je mmeathirika vipi na recession? Je mna mipango ya kurudi bongo?
 
Kwa sisi wa Amerika, Lay Off si mchezo na hakuna kazi... watu sasa wanalala Wall Street; kupiganga serikali kukopesha mabenki lakini mabenki hayakutoa mikopo au unafuu kwa nyumba watu walizonunua waliwaondoa wateja nje ya nyumba kwa nguvu na watoto kuwafanya home less ni kazi na unajua sio kama bongo unaweza kukimbilia kwa ndugu zako au wazee kijijini

Uzuri wa watu wa nje ni rahisi kupanda ndege na kurudi nyumbani
 
atahri zitakua zinategemea wanafanya kazi gani

ni sawa tu na kushuka kwa thamani ya shilingi kulivyo hapa nyumbani, some are affected positively, others negatively and some are not at all
 
Kwa huku marekani mambo si mazuri kwa wafanyakazi. Hakuna overtime, si rahisi kuapata kazi ya pili,wamepunguza benefits kazini,na wana lay oof watu kama utitiri. Watu wengi wanasubiri hii Jobs bill, ambayo itaweza kutengeneza kazi za ujenzi wa miundombinu na njia za usafirishaji, na kuwapa nafuu waajiri.
Kukiwa na overhaul ya infrastructure, hata watu wa IT, sales,service industry...etc wanaweza wakapata soko pia. But for now things are not that rosy.
Ila kama una cash money, vitu vingi ni bei rahisi sana nowadays, watu wanauza michuma, interest rates za morgages zimepungua, nyumba bei zimeshuka, a lot of things bei zimeshuka. Hivyo kama unajua wapi pa kupata dhahabu kwa bei poa, holla at me!!
 
Obama si ameshindwa hiyo jobs bill.kwa hiyo hali huko itazidi kuwa ngumu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom