Ebuddy XMS

IamError_D

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
432
92
ebuddy xms ndo mpango mzima kwa wale wacokuwa na BBM.... uta-add marafk ambao wanao2mia hii app kwa PIN kama wale wa BBM.... nmeshndwa weka link waweza tafuta kwny App store
 
Hii app sio mbaya ila kili mtu yupo WhatsApp tayari, hakuna umuhimu sana wa kujaribu kuwahamisha wote huku. Ila hii nimependa ina web interface ukiwa kwenye PC unatumia website WhatsApp ndo ilichokosa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom