Ebu tuwe wakweli na tutulize akili zetu kuna tendo gani tamu duniani zaidi ya ngono?

Hii haijalishi wewe umeokoka au swala tano. Ukifanya ngono na umpendae muda muafaka, sehemu muafaka na kwenye eneo muafaka unajisikiaje kwa wale waliobahatika kufanya hivyo?

Lazima utakuwa umetawaliwa na ngono wewe.
 
Kwa mfano mm starehe yangu ya kwanza ni msosi,kwa waitaliano starehe yao ya kwanza ni futbo. Sex is nothing et all.
 
Hii haijalishi wewe umeokoka au swala tano. Ukifanya ngono na umpendae muda muafaka, sehemu muafaka na kwenye eneo muafaka unajisikiaje kwa wale waliobahatika kufanya hivyo?

Daah, ni kweli kusex na mtu ambayo is your target, una mfeel almost 100% ni starehe kweli lakini starehe haina uniformity kwa wote.

Binafsi naona kila kitu ni starehe endapo utakuwa umejiandaa kukifanya kwa wakati, mahali muafaka. Mfano kula, ukiandaliwa chakula kizuri, ukala kwa utulivu na ukashinda hiyo nayo ni starehe kubwa sana.
 
Kwa muda uloanzisha Thread bila shaka ulikuwa umetoka kukaza,hongera zako wenzio tupo ndoani mwaka wa 37 tushazoe!

haahahaahaa.......... nakusifu kma umezoea hyo moja......... ukionja za nje... duh... hazina mazoea.. tamuuuuuuuuuu
 
Inategemea ntu na ntu wengine misosi first,wengine kulala,wengine ngada wengine mibange so inategemea ntu na ntu!
 
Kusali ndio tendo lenye starehe duniani. Hakuna hofu ya ukimwi wala mimba, hakuna regret wala maudhi ya baadae. Ukimaliza kusali unajiskia amani, raha kwatu na unajisikia you are on top of the world. Positive energy inaongezeka.
 
kukata gogo ni nzuri ila isiweporini then mtu anakushitua ghafla ww kitu kinarudi kilikotoka vile vile kama unakata gogo stail ya kuharisha mfululizo nayo sio nzuri, pia kama unakula tena mbaya zaidi msosi usio upenda then ni ugenini hakuna raha

kuhusu kuGYGI GYGI nayo tamu ila sio sanaaa haswa kwa mtu ulio mzoea na stly uliozoea, raha kukojoa kitandani bwana tena usingizini kitu cha motoo ukishtuka kimeisha then unaanza kujitafuta mara upindue godoro mara ubadilishe nguo yani ni burudaani kwakweli
 
Kusali ndio tendo lenye starehe duniani. Hakuna hofu ya ukimwi wala mimba, hakuna regret wala maudhi ya baadae. Ukimaliza kusali unajiskia amani, raha kwatu na unajisikia you are on top of the world. Positive energy inaongezeka.

take 97 percent
 
Kuna usemi- One man's meat is another man's poison. Starehe zatofautiana sana,my priority maybve nothing to you. Tabu ni pale watu wawili wana pokuwa na priority zisizoshabihiana hata nukta, we utaona maisha machungu. If you think praying gives you total peace of mind, mwingine anaona bora kukaa baa, mwingine saa zote ngono, nk nk. So just as we human beings differ and are our choices and likings. Personally the most soothing thing is listening to a heart touching music with a glass of wine. WIth this I feel heaven on earth.
 
Hii haijalishi wewe umeokoka au swala tano. Ukifanya ngono na umpendae muda muafaka, sehemu muafaka na kwenye eneo muafaka unajisikiaje kwa wale waliobahatika kufanya hivyo?
mapadri na masista tendo hilo siyo priority, ndo maana wanakula kiapo cha kuto lifanya for the rest of their lives
 
Back
Top Bottom