Ebu,mshaurini huyu rafiki yangu wakuu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Huyu rafiki yangu,alikua na mmanzi wake wa enzi hzo,wamefka chuo,ka kawaida ya wadada,akampga chni msela,wel msela kabembeleza wee,bt response ikawa zero as mmanzi alimchana live kwamba ana msela wake mwngne,msela akaamua kumpotezea ile kwa shngo upande mwaka jana ingawa alikua somtym anamtext ila ndo vle manzi hajbu,sasa,jion ya leo yule mmanzi kamtext msela sms ya mapenzi,na kwa kuwa jamaa alikua busy akamjbu tu asante na nashukuru kwa kunikumbuka.bas mda huu eti yule manzi amem2mia tena huyu msela txt nyngne,inasema,sory,tht txt ws not yours.sasa wakuu huyu kiumbe alikua anapima upepo au vp?mshaurin kijana mwenzetu.
 
Tumshauri nini tena jamani? aliotuma message kasema amekosea....huyo rafiki wako kama bado anampenda amfuatilie tu atajua kama bidada alikuwa anapima upepo au anatoa upepo.
 
kuna wamanzi wakijua unawapenda wanakunyanya sana. wamanzi wa hivi bwana!! Mwambie atafute wamanzi wengine huyo ampotezee.
 
nitafsirie kwanza vifupisho vya hii hadithi ndo nitoe ushauri wangu.
Ukiringa kunitafsiria umepoteza bahati ya ushauri wangu ambao ni muhimu kuliko wa shehe yahya kwa TZ.
 
..ashaambiwa hana chake na sms alopata haikuwa yake ko y achanganyikiwe?..ka bado ana maumivu naye atafute mnyonge amege then apige chini,kidogo itamsaidia kujiamini..
 
nitafsirie kwanza vifupisho vya hii hadithi ndo nitoe ushauri wangu.
Ukiringa kunitafsiria umepoteza bahati ya ushauri wangu ambao ni muhimu kuliko wa shehe yahya kwa TZ.

co hadith hii mkuu!ni mkasa wa kweli
 
mzee kifimbo cheza yuko wapi?.maana hee kiswahili si kiswahili,au ndio swaga hizo?
 
Mwambie akamuangukie manake Hilo ndio analotaka kusikia.keshakwambia SMS ulikua sio yako bado unajishaua nakujitoa fahamu....
 
Mwambie rafiki yako a.k.a "msela" amuulize huyo dada kama alikuwa anapima upepo..au kakosea kweli, jibu atakalopewa basi ndio hilo hilo linamfaa..
 
huyo jamaa atakua mwanafunzi wa UDSM kama sikosei?!!
POPOBAWA.
 
Mbona ma she kibao tu msella. Mwambie mungu anamuepusha na jambo fulani, na akiendelea kumng'ang'ania huyo binti, kitakacho mkuta asimlaumu mtu.
 
Huyo binti keshamfanya swahiba wako ****.

Next time akipata text kama hiyo anajibu kwa text anauliza "Wewe nani tafadhali nimebadilisha simu naomba nikumbushe"
 
Huyu rafiki yangu,alikua na mmanzi wake wa enzi hzo,wamefka chuo,ka kawaida ya wadada,akampga chni msela,wel msela kabembeleza wee,bt response ikawa zero as mmanzi alimchana live kwamba ana msela wake mwngne,msela akaamua kumpotezea ile kwa shngo upande mwaka jana ingawa alikua somtym anamtext ila ndo vle manzi hajbu,sasa,jion ya leo yule mmanzi kamtext msela sms ya mapenzi,na kwa kuwa jamaa alikua busy akamjbu tu asante na nashukuru kwa kunikumbuka.bas mda huu eti yule manzi amem2mia tena huyu msela txt nyngne,inasema,sory,tht txt ws not yours.sasa wakuu huyu kiumbe alikua anapima upepo au vp?mshaurin kijana mwenzetu.

Msela kakutana na msela so amchukulie kisela sela tu
 
Wapo mademu kibao wanaigiza life, i mean cheaters, hypocrites, harlot too wa mapenzi, they live artificial life, dramatizing life hasa mapenzi, PIGAAA CHINI FASTA, mwambie KOMAAA, mmanina zake, be hard not soft kwa hawa cheaters.....i am done
 
Huyu rafiki yangu,alikua na mmanzi wake wa enzi hzo,wamefka chuo,ka kawaida ya wadada,akampga chni msela,wel msela kabembeleza wee,bt response ikawa zero as mmanzi alimchana live kwamba ana msela wake mwngne,msela akaamua kumpotezea ile kwa shngo upande mwaka jana ingawa alikua somtym anamtext ila ndo vle manzi hajbu,sasa,jion ya leo yule mmanzi kamtext msela sms ya mapenzi,na kwa kuwa jamaa alikua busy akamjbu tu asante na nashukuru kwa kunikumbuka.bas mda huu eti yule manzi amem2mia tena huyu msela txt nyngne,inasema,sory,tht txt ws not yours.sasa wakuu
huyu kiumbe alikua anapima upepo au vp?mshaurin kijana mwenzetu.

achana nae wangu aliwahi kuniacha af akawa napima upepo ...wapuuz sana hawa anajaribu kucheck kama bado unampenda but kimsingi anakupumzikia tuuu!!!
 
Huyo demu boom imeshakata anatafuta njia ya kurudia tuu,kama vp jamaa ampotezee kinomanoma!!
 
Back
Top Bottom