Ebo kumbe kingereza chetu hakikubaliki Newzealand

kiswahili kikitumika hadi chuo kikuu haimaniishi kingereza kipigwe marufuku.....

uholanzi wanatumia kiholanzi kufundishia but waholanzi karibu wote wanajua kingereza...
kiswahili kitumike hadi chuo kikuu kwa lugha ya kufundishia.while

kingereza kipewe mkazo ili watu tujue kingereza vizuri
 
Sioni msingi wowote wa wao kusema wa-Tz wafanye IELTS wakati baadhi ya nchi hawahitaji. Ninafikiri ni mtazamo wao tu kuhusu elimu ya Tz na nchi nyingine za Afrika. Ila ninavyofahamu kama ni scholarships za digrii ya kwanza watakulazimisha kufanya. Kama ni za MA au PhD, inategemea chuo ulichoomba. Vingine, hata Australia wamebadili vigezo na huwa wanataka tu udhibitisho kuwa ulipata mafunzo ya dingrii kwa kiingereza. Ingawaje kwa Tanzania sijui IELTS inafanyiwa wapi, labda ujaribu kuangalia kwenye mtandao. Ila kwa ujumla mimi naona ni njia ya kujiingizia hela kirahisi.
 
Mkuu wanasema ni pamoja na masters.nimeona malipo yao yanalipa sana nilitaka nijaribu ila hiyo test nayo.sijui inafanyika wapi
 
kiswahili kikitumika hadi chuo kikuu haimaniishi kingereza kipigwe marufuku.....

uholanzi wanatumia kiholanzi kufundishia but waholanzi karibu wote wanajua kingereza...
kiswahili kitumike hadi chuo kikuu kwa lugha ya kufundishia.while

kingereza kipewe mkazo ili watu tujue kingereza vizuri

mkuu si ndo nchi nyingi wataanza kutugomea na hayo ma test yao ya kiingereza.Kama kwa sasa tunatumia kiingereza sekondari, vyuoni na kwa baadhi ya primary n ahata sheria na document nyingi za serikali ni kiingereza lakini hawa wa newzealand wanaona bado haifai. hapo mbeleni itakuaje
 
mkuu si ndo nchi nyingi wataanza kutugomea na hayo ma test yao ya kiingereza.kama kwa sasa tunatumia kiingereza sekondari, vyuoni na kwa baadhi ya primary n ahata sheria na document nyingi za serikali ni kiingereza lakini hawa wa newzealand wanaona bado haifai. Hapo mbeleni itakuaje

nimekupa mfano wa uholanzi.....
Labda jiulize wanafunzi wa uholanzi wanagomewa na nchi gani kwa
masomo kwa kutumia lugha ya kiingereza?
 
Kama kweli unajua Kiingereza kwanini uogope kwenda kufanya huo mtihani wa English? Hizo ni formalities tu ambazo kwa mwenye sifa zote hutakiwi kuziogopa.
 
point siyo uwoga wa mitiani wala kupinga utaratibu point ni kwa nini kenya, zambia, zimbabwe na south Africa hawahitaji kufanya huo mtihani? swali ni je kiingereza chetu tunachojifunza, kuongea na kutumia ngazi zote si kitu?
 
Nenda hata UDSM idara ya lugha za kigeni wanafanyisha hiyo mitihani,,,,swala la lugha jamani ni kama fimbo,,,,,ukweli ni kwmaba Tanzania tunatatizo la lugha ila tulio wengi tunakataa kukubali,,,,,,,,,,,kuna tofauti kubwa saaaaaana kati ya graduate wa TZ, na UG au KE katika kujieleza kwa ufasaha kwa kingereza,,,,, na watanzania wengi tunakosa opportunities nyingi kwa kuwa lugha haipandi,,, kwakuwa nchi yetu ni maksini hatuwezi kupigia debe kiswahili,,,watoto wasome,,,kingereza kichina,, kijapan,kijerumani etc hii itatusaidia saana
 
Nakubbaliana na wewe mzee 99%.

Lakini hivi kama mtu umesoma UDSM na miongoni mwa kozi zako ulisoma "communication Skills (CL), ambayo inaonekana kwenye "Transcript", iweje tena wale wa Idara ya Lugha pale UDSM wajifanye kutoa cheti tena kwa bei ya zaidi ya 15,000 unapotaka kuomba certification???..na wanakupa ka risti ambako kama kamtaani kwa malipo kama si ufisadi??...na hivyo vyeti vya UDSM, vipo vyuo vingine vya nje hawakubali kabisa mpaka uthibitishe umefaulu TOFEL.
 
Nenda hata UDSM idara ya lugha za kigeni wanafanyisha hiyo mitihani,,,,swala la lugha jamani ni kama fimbo,,,,,ukweli ni kwmaba Tanzania tunatatizo la lugha ila tulio wengi tunakataa kukubali,,,,,,,,,,,kuna tofauti kubwa saaaaaana kati ya graduate wa TZ, na UG au KE katika kujieleza kwa ufasaha kwa kingereza,,,,, na watanzania wengi tunakosa opportunities nyingi kwa kuwa lugha haipandi,,, kwakuwa nchi yetu ni maksini hatuwezi kupigia debe kiswahili,,,watoto wasome,,,kingereza kichina,, kijapan,kijerumani etc hii itatusaidia saana

Na huu ndio ukweli.Kenya na UG wametuzidi sana ila hatutaki ku-admitt ukweli tunabaki kulalamika.
 
Jamani hiyo haina ubishi na mbaya zaidi watanzania tunakosa confidence. mfano ukienda kwenye interview ukakutana na watu wenye qualification sawa na wewe toka kenya na uganda watakuacha kwa sababu ya fluency na confidence. Sasa badala ya kubishania hili ni vizuri tukajadili namna ya kujenga confidence kwa watu wetu.
 
manengo hapa umesema kweli kabisa ...tuna hali ngumu ya kutokujiamini
 
Lakini pia ujamaa ulitufanya tuwe watu wa kutofikiri,angalia mtu kamaliza Chuo Kikuu hata kuandika report ya kazi hajui aanzie wapi,ukimwambia aka fanye presentation ndio kabisa,hata kutengeneza slide mtu hajui,tunategemea nini?Ni na mfano uliohai kuna jamaa kamaliza Chuo Kikuu na alikuwa manager kwenye tawi la benki zetu za kiswahili,jamaa akamtilia pande ili ajiunge bank hizi za watu wa nje na kweli jamaa akapata na kutokana na Cv na vyeti vyake akapewa kazi,akafanyiwa hadi training,loh baada ya muda akatembelewa na boss wake toka makao makuu swali la kwanza kuuliza ni business plan ,jamaa akawa hana kitu ,akaulizwa wateja wakubwa kama kumi wa hiyo bank kwenye huo mji na kama amewahi kukutana nao jamaa aksema sio kazi yake kukutana nao na wakati hao jamaa ndio mhimili wa tawi lake na alitakiwa kuwaweka mbele ili tawi lake lizidi kwenda mbele,na jamaa anazungumza vizuri lugha ya mama,tatizo wengi wa wa TZ kwanza hatujiamini na pia hatufanyi kazi kwa malengo na tumekosa mbinu na ni wavivu hasa,hatujakuwa pro active huo ndio ukweli wenyewe tunapenda sana njia mkato na kufanya kazi kwa mazoe,ukiwa mkubwa na ukitaka kazi ifanyike kwa kufuata matakwa ya mwajiri wako waliochini yako watakuona unakimbelembele huwapendi,mnoko na mambo kede kede ,timelines wa TZ hatujui ni nini utakuta umempa mtu kazi afanye na utaitaka baada siku mbili mwisho wa siku utakuta hakuna kazi iliyofanyika ni visingizio kwa kwenda mbele,akilini jamaa anawaza kwenda vikao vya harusi au kijiweni kunywa lakini kazi ah bwana subiri kesho.
Hivi ni wahitimu wangapi kutoka vyuoni mwetu hapa TZ ambao ni ICT haiwapigi chenga?kweli bila ICT kuijua wapi utafanya kazi ulimwengu wa leo ,huenda labda Bank ya Posta.Na sasa Wakenya na Waganda ndio hao wanapiga hodi mlangoni,na tujirudi ,tutafakari ukitaka ajira lazima uwe mweledi tena mweledi wa vitendo na nadharia na sio blah blah tu
 
UJamaa mkuu! mbona nchi nyingi duniani ni za kijamaa wana teknolgia na wametoa wasomi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom