EATV inaboa. . . !

habari zenu wanaJF,
Kwa wale tunaofuatilia matangazo ya kituo cha televishen EATV (channel 5) utangundua kuwa kituo kimepoteza ubora sababu nyimbo kila siku (kama kwa muda wa wiki 3) hizohizo na kwa mtiririko uleule, sa nyingine wanakatisha nyimbo. Hali hii inakera sana...wahusika fanyeni mabadiliko 2MECHOKA!

Poleni watoto wa shule.
Sikumbuki kwa mara ya mwisho ni lini nlipoangalia hiyo tv
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom