Easter: EARLY GREETINGS & WISHES

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Nachukua fursa hii kuwatakia kila la kheri na baraka tele za PASAKA wanaCHITchat & all great thinkers. Karibuni tuburudike na tusherekee pamoja.
...

Asante, nawe pia.
Utakuwa una burudika wapi?
 
Nachukua fursa hii kuwatakia kila la kheri na baraka tele za PASAKA wanaCHITchat & all great thinkers. Karibuni tuburudike na tusherekee pamoja.
...
SI unit

ngoja ni mPM AD apost card za salamu za easter

na wewe pia..
 
Nachukua fursa hii kuwatakia kila la kheri na baraka tele za PASAKA wanaCHITchat & all great thinkers. Karibuni tuburudike na tusherekee pamoja.
...
SI unit

Easter njema waungwana wote wa JF, tusherekee kwa amani tupunguze ma jack daniels yasije leta hasira tukakosa michango ya watu kwa katiba mpya
 
Attachments

  • pilau.jpg
    pilau.jpg
    132.7 KB · Views: 27
.​
paperclip.png
Attached Thumbnails

Mkuu, Pilau ya wapi hiyo? .. aagh hii sikukuu bana .. unakula kwa kuji-mwayamwaya!

Anyway, wanaJF watakaokaribia kwenye sikukuu sehemu yetu huku tulipo na memba wengine watapata hii kitu! - ndio mapishi yanamalizika ... hapa tunaonja kidogo

url

Happy Easter to all JF members!

.

Hii menu kweli ya pasaka lol.
 
Back
Top Bottom