East African news

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Ukifuatilia vyombo vingi vya habari vya Tz km itv, chan10, tbc n.k utaona ktk taarifa ya habari kuna sehem ya habari za africa mashariki, lkn ukifuatilia vyombo vya habari vya kenya na uganda km citizen, kbc, ubc n.k wao hawana na wala habari za Tz hazitangazwi km sisi tunavyotangaza za kwao! je ndo kusema sisi tunataka kufahamu habari zao zaidi ya wanavotakiwa kufahamu za kwetu? nawasilisha...
 
Back
Top Bottom