East African Federation na mkataba mpya wa maji ya Ziwa Victoria

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
11,143
18,774
Tunaambiwa kwamba tuna mkataba kuhusu matumizi ya maji ya Ziwa Victoria ambao tunapaswa kuuheshimu japo ulisainiwa na serikali za kikoloni zilizotawala nchi zetu (Kenya, Uganda, Tanzania - na sijui kama Rwanda na Burundi wamo katika huo mkataba wa kikoloni).

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kwamba yapo mambo tuliyorithi kwa wakoloni, kama mipaka ya nchi, ambayo hatuna budi kuyakubali japo hatuyapendi.

Lakini nadhani kwa hili la maji ya Ziwa Victoria wanasheria wetu wanapaswa kuliangalia upya ikiwa nchi zetu zitakuwa nchi moja iliyo federation (East African Federation). Ziwa Victora kwa wakati huo litakuwa ni "inland water body" ambalo nchi mpya ya East Africa itakuwa na total jurisdiction. Kwa mantiki hiyo, tutakuwa na autonomy juu ya maji yake.

Hivyo basi, mkataba mpya juu ya matumizi ya maji ya Ziwa Victoria lazima uanzishwe. Infact, maji haya ya Victoria kwenda mto Nile yatapaswa kuwa ndio mafuta yetu sisi watu wa East Africa, na tutataka mkataba mpya na nchi zinazonufaika na mto Nile wenye basis ya "water for fuel".

After all, East Africa itakuwa na jukumu la kutunza vyanzo vya maji ya Ziwa Victoria, sivyo?

Na pia, as a new East African state tunapaswa kuangalia na kusign upya mikataba yote ya kimataifa - tusikumbali blanket agreement kwamba East African Federation ilithi mikataba yote iliyosigniwa na nchi moja moja wanachama wa Federation; mikataba ya kina Chenge na wengine kama yeye kule Kenya na Uganda.
 
Hakuna na hakutakujatoke kitu kama East African State....:nono:
 
Back
Top Bottom