East African Federation (EAF) public Views

Thanks for this honor to speak out my views,i dont mind rwanda or burundi to join EAC but would like first to reconcile and end up the disput or misunderstanding btwn themselves,we need serious pple not warlike pple,we need members who would aim at a certain goal and achieve that goal, we dont need to reconcile adults who just dont want to understand each other.let peace prevail in these countries then they will freely join the group.
thanx.

Amas3176,dar-es-salaam,
TANZANIA
 
Nafikiri east africa federation ianze kwa uhusiano wa kiuchumi kwanza na kisiasa ifuate baadae baada ya kuwa sure kwamba inaweza ikafanya kazi. Itakuwa ni mapema sana kuingia ktk shirikisho la kisiasa na wakati wa kiuchumi kwenyewe bd kuna matatizo. Federation yenyewe ya kuwa na rais mmoja in ealiest ingeanza kwenye 2020 na hapa ni baada ya kusolve differences zote ambazo zipo ktk nyanja ya kiuchumi.

Kuwa na rais mmoja sio rahisi km watu wanavyofikiria, hizi nch pamoja na kwamba ziko jirani, historically, political ideologies zimekuwa tofauti kabisa, kwa hiyo sio rahis ktk miaka hii mitano tuliyijipa kujipanga na tukawa ktk mtazamo mmoja. EU yenyewe pamoja na kuwa juu kiuchumi, kisiasa,ustarabu na ukongwe wa bloc yenyewe hili limeshindikana, sembuse sisi africa ambapo, ubinafsi, uroho wa madaraka, na inefficiencies kibao ni mambo ya kawaida. Tusije tukaundermine history jamani! Tunatakiwa tulearn from mistakes, kile kilichotekea miaka ya 70 isije kikatokea tena.

Kwa hiyo mi nasuggest tuwe patient, tuanze na kidogo n then tutakuwa tuexpand kwa jinsi mambo yatakavyokuwa yanawork. East african community bd changa sana kuwa Political federation.

Hope maoni yangu ytafanyiwa kazi

Salisali (Tanzanian)
Manchester
UK
 
Ni kweli muungano wa kuwakaribisha hao ndugu zetu ni vizuri sana, lakini tufatute jinsi ya kuwasaidia na kuwaelimisha kuwa Mungu ni nani?, amani ni nini, upendo ni nini, kuacha ubinafsi na kutanguliza maslahi ya mimi badala ya sisi na ukabila yote hayo ndiyo chanzo cha matatizo, wajifunze kushirikiana kwa kila kitu/jambo lenye kuleta maendeleo ya binafsi na Taifa kwa ujumla.

1. Hofu yangu ni je, wataweza huo ushirikiano wanaouomba.
2. Kabla ya kuwakaribisha tujaribu kufanya utafiti kwa undani huku tukimuomba Mungu atufunulie jibu jema.

Binadamu wote ni sawa lakini kwa wenzetu kidogo mmhh!!
 
Rwanda na Burundi wanaweza kujiunga na EAC ila waaache mikuki na mapanga yao huko huko kwao.
 
EAC siitaki kuisikia kabisa maishani mwangu, nitawaambia kwa nini. Sababu yenyewe inaanzia mwaka 1977 nikiwa mwanafunzi wa kidato cha pili pale Tabora Boys. Mwaka huo sitausahahu kabisa katika maisha yangu siyo tu kwa vile ndio mwaka ambao CCM ilizaliwa nikalazimshwa kupiga gwaride la Chipukizi kuishangilia lakini baadaye ikaja na kuleta hili balaa tulilo nalo leo, ila ni kwa vile ndio mwaka ambao EAC ilivunjika na kusababisha ndege, meli na mabehewa mengi ya reli kubaki kenya na kufanya Tanzania iwe nchi ya stone age. Ilichukua zaidi ya miaka mitano hadi kuja kupata meli ya Victoria ikiwa imeshakongolewa; nasikia walikuwa wameifanya night club huko Kisumu.

Sielewi kama kweli tulikuja tena kuyapata hayo mabehewa kwa kuwa kuanzia wakati huo usafiri wa reli umekuwa ni kitendawili. Safari ambazo nilikuwa nimezoea kuzifanya kwenga Kigoma usiku na kufika asubuhi zikawa haziwezekani tena. Nakumbuka kuwa ilibidi Tanzania tuazimwe ndege na serikali ya Msumbiji ambayo wakati huo baada ya uhuru wao mambo yao yalikuwa mazur kidogoi. Bwana Charles Njonjo alitangaza waziwazi kutucheka watanzania kwa hilo. Vijana wengi waliozaliwa kati ya mwaka 1972 labda hawajui hayo, lakini je hao walioko madarakani watakuwa kweli wameshasahau jambo hilo?

Stage tuliyoko sasa ni kama ile ya kabla ya mwaka 1967 kuelekea kuanzishwa kwa jumuia hiyo. Waimbaji waliimba sana kuhusi uzuri wa jambo hilo na hakuna aliyetabiri maovu yanayoweza kutokea. Mwanamuziki mmoja maarufu wa wakati huo sijui ni Daudi Kabaka au ni nani aliimba "Shirikisho la Afrika, Sote tumechangamuka, Kweli Kenya Uganda na Tanganyika, sote tumechangamuka...'' Wote tunaona uzuri tu, lakini tunasahu ubaya wake. Wa kale walisema "Nyani hageuki kuwa mtu hata siku moja, nyani ni nyani tu. achana naye." Matatizo tulyo nayo yanatutosha, hatuhitaji kujiongezea vilio vingine.

Baada ya kuvunjika kwa EAC uchumi wa Tanzania ulivurugika sana kiasi kuwa sasa hivi Kenya wana advantage kubwa sana ya kuitumia Tanzania kama soko lao. Majuzi nilizoma kuwa Kenya Airways inanunua ndege mpya 11 kutoka Boeng, the next generation, wakti Tanzania tumeuza ATC na sasa hivi hatuna hata ndge moja. Kwa nini tusijishughulishe na kujenga nchi yetu kabla hatujaanza kutanua tentacles. Tatizo ni kwamba viongozi wetu ni viazi sana kiasi kuwa badala ya kushughulika na kuijenga Tanzania, wao wamekuwa busy kuiuza Tanzania. Wamaeuza sehemu zote za muhimu kwa Makaburu na kujipatia faida, sasa wanataka wagawe sehemu zilizobaki kwa Kenya na Uganda bila gharama yoyote. Je watanzania hatustahili mema jamani?
 
Mzee Kichuguu,
Maneno yako yananiumiza sana! Duuh...! Hakika, inabidi tutafakari sana kabla ya kuingia kwenye huo umoja/muungano unaopigiwa chapuo.
 
Waache wasijiunge b'se wana ukabila wakati sis Kenya ni watu safi walioungana hatuna ukabila hata kidogo, huku TZ hatuna ukabila hata chembe na ukiona kule Tarime au Mara wananchi wanaishi kwa upendo, uganda watu ni malaika wanaishi kama twiga hasa kaskazini ambako ni neema tu.

Hawa watu wanaoendekeza ukabila tusiwaruhusu kwenye paradiso yetu.
 
Rwanda and Burundi can join. Then we have to consider even Somalia to join EAC.
 
Understandably everyone is entitled to their own opinion. I can already see that Tanzanians are resisting change (when it comes to EAC) and xenophobia towards Ugandans and Kenyans and more so to the latter. History shows that TZ helped RSA (vis-a-vis) during the struggle hence the two countries have a cordial relationship. I can appreciate the allegiance Tanzanian's feel for South Africa however to give a simple example of visa requirements; shouldnt Tanzanian's be able to go to RSA without visa's just like South Africans go to TZ without visas? This is a very simple example. Anyway back to the main objective EAC;let us look at some of the advantages of EAC particularly from a Trade, Industry, Investment and Customs initiative:

Trade
- Implementation of tariff reduction whereby Kenya applies 90%, and Tanzania and Uganda 80% tariff reductions.
- Removal of all non-tariff barriers on cross border trade.
- Ongoing studies on the Establishment of an East African Trade Regime.
- Completion of study on cross-border trade in agricultural products.

Industry
-Ongoing harmonisation of standards and specifications of goods and services.
-207 standards already harmonised, out of which 91 East African Standards have been adopted and notified to WTO.
-Completion of study on the EAC Industrial Development Strategy.

Investment
-Establishment of the East African Association of Investment Promotion Agencies (EAFAIPA), in May 1998.
-Ongoing harmonisation of the investment incentives and codes of the Partner States.
-Publication of the Investors Guide to East Africa.

Customs
-Adoption of a standardised single entry document.
-Ongoing harmonisation of the last two digits of the Customs Classification Code.
-Progress towards the conclusion of the Protocol on the Customs Union by end of the year 2001.

Harmonisation of Monetary and Fiscal Policies
- Progress in the development of a macro-economic framework for the region to guide towards economic convergence and macro-economic stability.
- Convertibility of Partner States currencies.
- Harmonisation of banking rules and regulations.
- Harmonisation of VAT rates, which now range between 16% and 20%.
- Harmonisation of pre-shipment requirements threshold at $5000.
- Institutionalisation of Finance Ministers' pre- and post-budget consultations, regular sharing of information on budgets, tax proposals, trade and economic performance, including the reading of Budget Statements on the same day.
- Implementation of Tripartite Agreement on Avoidance of Double Taxation.

Capital Markets
-Harmonisation of policies and trading practices and regulations in the three Stock Exchanges under the auspices of the East African Securities Regulatory Authorities (EASRA).
- Establishment of the Capital Markets Development Committee to oversee development of the capital markets, particularly cross listing of stocks.

Envoy for good governance and ethics
 
Jamani,

Huu mjadala wa shirikisho ni mzuri kweli kweli na hasa kwa sisi watanzania.

Kwa hakika wale wote, kwa maana ya watanzania, wanaoshabikia shirikisho la Afrika Mashariki nadhani wana matatizo yao, tena basi makubwa. Kwa maoni yangu shirikisho ni kitu ambacho hakifai, mimi hata kusikia tu neno lenyewe napata kichefuchefu. Ni lazima tujiulize sana sisi watanzania faida na hasara za kujiunga na shirikisho. Kama ziko faida ni chache kuliko hasara ambazo ni nyingi. Ni wazi kuwa shirikisho linafagiliwa na wakenya ambao ndio walikuwa msitari wa mbele kuvunja jumuiya ya afrika mashariki mwaka 1977. Hasara kubwa itakayotokea kwa shirikisho hilo ni kuingizwa kwa utamaduni mpya wa chuki za kikabila nchini Tanzania zitakazoletwa kutoka Kenya. Wakenya ni wabinafsi na "arrogant".

Wao wenyewe hawapendani- mjaluo, mkikuyu, mluhya na kadhalika. wanabaguana kweli kweli. Ubaguzi huo utaletwa tanzania na kuleta machafuko makubwa. Kenya inataka shirikisho kwa kuwa ina viwanda vingi hivyo wanataka soko pana la bidhaa zao ambapo umoja wa kiuchumi tu hautoshi isipokuwa ni bora kuwa na umoja wa kisiasa(kwa maana ya shirikisho) ili kuwa na uhakika zaidi, kwa mawazo ya wakenya. Wakenya hawan ardhi ya kutosha na siku zote wamekuwa wakitoa mate ya tamaa mithili ya fisi wenye uchu wakitamani ardhi ya tanzania ili waje wafaidi ndani ya shirikisho. Ni kweli tanzania inaweza ikafaidika hapo baadaye katika shirikisho hilo na hasa kwa upande wa mbinu za kibiashara, lakini hii itakuwa ni baada ya muda kupita.

Kimsingi shirikisho ni kitu ambacho kinaweza kikaleta balaa kubwa mno katika eneo hili la Afrika kwa kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Mapigano ya huko Tarime ni mwanzo tu na yataongezeka zaidi wakija wakenya. huwezi kufanya urafiki na wakenya. Wale waliofanya kazi na wakenya wanafahamu tabia yao ilivyo ya ujeuri, dharau, manayanyaso na hata wizi.

Haya, piganieni hilo shirikisho muone kitachotokea miaka 50 ijayo ambapo vizazi vyetu vitakuja tulaumu sana kwa uijnga tulioufanya mpaka kukubali shirikisho.

tatizo la wanasiasa wetu ni kwamba wakati mwingine huwa hawaoni mbele. wanaangalia manufaa ya leo lakini hawafanyi tathimini ya kina kuhusu kile kinachoweza kutokea baadaye. Shirikisho ni balaa, ni balaa tupu. Wanasiasa wetu wanadanganywa, wanakuwa waoga kusema ukwelim kuhusu ubaya wa shirikisho. Nimewasikia wakisema mazuri ya shirikisho lakini hawasemi mabaya ya shirikisho. Wananchi wa Tanzania ni lazima wafahamishwe mazuri na mabaya ya shirikisho ili tuweze kupima katika mizani. Kinachofanyika sasa ni kuwaburuza wananchi, ili waone shirikisho ni zuri wakati siyo kweli. Hii ni mbaya sana.

mbavile edson
 
Kutenda kosa si kosa, kosa ni kurudia kosa. Ni rahisi kuwa mwerevu baada ya tukio. Aliyeumwa na nyoka basi hata unyasi ataukimbia. Asiyejua kufa achungulie kaburi.

Gharama au karo, tuliyolipa watanzania kujifunza kuwa ushirikiano wa kuingia kichwa kichwa haufai ni kubwa sana kiasi cha kwamba itakuwa ni busara ya ajabu kurudia palepale! Wakati hata wazee wetu waliotumikia jumuia iliyokufa bado wanalilia mafao tuliyodhulumiwa!

Angalia Uganda ya raisi wa maisha Museveni, angalia Kenya ya Ndizi na Chungwa! hivi kweli ni busara hata kuwaza habari ya shirikisho! Hebu tuachane na kufikiri kuwa mbili na mbili inaweza kuwa tano, tugange na kuinua uchumi wetu.
 
My name is John and am an East African By birth . I have lived In the USA for 6 years. What we have in East Africa is Huge potential to become big in the world stage. Think of the huge untapped mineral reserves in all the three countries, the labor market not forgetting the capital that all three national banks are going to bring into the common market.

All three nations are going to gain substantially. The leaders might lose their power in the longrun but the common man will be a WINNER !!!!!
 
hello guys i'm the newbee in this forum so please be easy on on me. my main concern is this fear sorounding the whole EA thing, please tell me the fuss of having our own economic area? if not now then when are we deemed ready for this?

I AM THE VICTIM OF MY OWM MAKINGS!
 
Unregistered said:
Jamani,

Huu mjadala wa shirikisho ni mzuri kweli kweli na hasa kwa sisi watanzania.

Kwa hakika wale wote, kwa maana ya watanzania, wanaoshabikia shirikisho la Afrika Mashariki nadhani wana matatizo yao, tena basi makubwa. Kwa maoni yangu shirikisho ni kitu ambacho hakifai, mimi hata kusikia tu neno lenyewe napata kichefuchefu.

Ni lazima tujiulize sana sisi watanzania faida na hasara za kujiunga na shirikisho. Kama ziko faida ni chache kuliko hasara ambazo ni nyingi. Ni wazi kuwa shirikisho linafagiliwa na wakenya ambao ndio walikuwa msitari wa mbele kuvunja jumuiya ya afrika mashariki mwaka 1977. Hasara kubwa itakayotokea kwa shirikisho hilo ni kuingizwa kwa utamaduni mpya wa chuki za kikabila nchini Tanzania zitakazoletwa kutoka Kenya. Wakenya ni wabinafsi na "arrogant". Wao wenyewe hawapendani- mjaluo, mkikuyu, mluhya na kadhalika. wanabaguana kweli kweli. Ubaguzi huo utaletwa tanzania na kuleta machafuko makubwa.

Kenya inataka shirikisho kwa kuwa ina viwanda vingi hivyo wanataka soko pana la bidhaa zao ambapo umoja wa kiuchumi tu hautoshi isipokuwa ni bora kuwa na umoja wa kisiasa(kwa maana ya shirikisho) ili kuwa na uhakika zaidi, kwa mawazo ya wakenya. Wakenya hawan ardhi ya kutosha na siku zote wamekuwa wakitoa mate ya tamaa mithili ya fisi wenye uchu wakitamani ardhi ya tanzania ili waje wafaidi ndani ya shirikisho. Ni kweli tanzania inaweza ikafaidika hapo baadaye katika shirikisho hilo na hasa kwa upande wa mbinu za kibiashara, lakini hii itakuwa ni baada ya muda kupita.

Kimsingi shirikisho ni kitu ambacho kinaweza kikaleta balaa kubwa mno katika eneo hili la Afrika kwa kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Mapigano ya huko Tarime ni mwanzo tu na yataongezeka zaidi wakija wakenya. huwezi kufanya urafiki na wakenya. Wale waliofanya kazi na wakenya wanafahamu tabia yao ilivyo ya ujeuri, dharau, manayanyaso na hata wizi.

Haya, piganieni hilo shirikisho muone kitachotokea miaka 50 ijayo ambapo vizazi vyetu vitakuja tulaumu sana kwa uijnga tulioufanya mpaka kukubali shirikisho.

tatizo la wanasiasa wetu ni kwamba wakati mwingine huwa hawaoni mbele. wanaangalia manufaa ya leo lakini hawafanyi tathimini ya kina kuhusu kile kinachoweza kutokea baadaye. Shirikisho ni balaa, ni balaa tupu. Wanasiasa wetu wanadanganywa, wanakuwa waoga kusema ukwelim kuhusu ubaya wa shirikisho. Nimewasikia wakisema mazuri ya shirikisho lakini hawasemi mabaya ya shirikisho. Wananchi wa Tanzania ni lazima wafahamishwe mazuri na mabaya ya shirikisho ili tuweze kupima katika mizani. Kinachofanyika sasa ni kuwaburuza wananchi, ili waone shirikisho ni zuri wakati siyo kweli. Hii ni mbaya sana.

mbavile edson

are you guys for real? what is this hatred you have towards kenyans? it pains me, as an east african, to see such vitriolic hatred spewing out of the mouths and brains of people i regard as my brothers and sisters. i can see what tanzanians and south africans have in common - xenophobia! you should look inwards and ask yourselves why you hate people who have so much in common with you. i can understand a white european or american having such thoughts about me. but a black african, and an east african at that? IT IS A SHAME! This blanket condemnation of kenyans as arrogant, rude and thieves is beyond comprehension. you should know better than that. stereotyping never got anyone anywhere. this east african community thing is a viable idea in this day and age. wake up my brothers and sisters and smell the coffee. we have to strategise in order to survive in this global economy. or haven't you ever heard of the adage, there is safety in numbers? maybe i should say, 'umoja ni nguvu.'

i could go on and on. nawaomba ndugu zangu mjiulize kwa nini mnawachukia wakenya na wauganda hivi. si vizuri. sisi ni ndugu na ni lazima tusaidiane, ama wote tuangamie katika dunia ya leo.
elizabeth- a proud kenyan.
 
y'all haterz.u disgust me.tanzanians,u keeping whining and b1tching about klenyans.kenyans sweat and earn what they get.kenyans dont sit under coconut trees and wait for govt provisions like the ujamaa villages did;made u lazy and ignorant.such a big country full of people but few are part of the greater intelligensia.

ask urself,why is kenya smaller than u geographically and demographically but more educated,driven,economically superior?what is it that make kenyans olympic champions and nobel prize winners while u tanzanians are still sittting in your maskans complaining about the world?why is it the kenyan community abroad is the most visible and active of the east african diaspora?u complain of cultural erosion while your benga musicans have to perfom in Nairobi to gain proper recognition in the region,just like ugandans.

hate or love it,kenya is the super power of the region,the most important country in the region politically and economically and culturally and theres nothing anyone can do about it!fact is that tanzania is inEastAfrica as much as u may want to pledge allegiance to your fellow xenophobic south africans.u might as well just learn to cope.
 
In this forum Kenyans have been labeled tribalistic, arrogant, they take over Tanzanian's jobs, someone even brought up the issue of orange and banana (constitutional review)etc.
There are a few things that Tanzanians need to understand:

- Kenya has proven to be democratic; in the way they voted during the referendum (orange vs banana). Kenya has also proven to be democratic in the way corruption is reported openly by the media and not being swept under the carpet etc..You have labeled Kenyans tribalistic and you feel that they are divided and hate each other; however Kenyans proved to be united when the new govt was voted in, all kenyan tribes be it luo, kikuyu, kamba all voted for the new govt, furthermore the same tribes rejected the constitution review as Kenyans and not as luos', kikuyus, luhyas' etc i guess by now you are getting the picture that Kenyans are united.

The reason for Kenyans going to Tanzania is because of the "brain drain" that is faced by TZ, and the rest of Africa for that matter. Tanzania has a policy in place on hiring exparts be it Kenyans, Ugandans South African etc... 90% of the expart that come to TZ are actually investors which is what TZ needs, and should TZ choose not to join the EAC, 50 years down the line TZ will regret be left behind again!!! Let us see how you will explain that to your children and your great grand children!!!

Ofcourse for every action there is a reaction; advantages and disadvantages however the advantages are more than the disavantages..... as an example Tanzanians' would be able to take their children to school in Kenya (a country that you have so clearly put it you hate!!!). Dont you think with the EAC; the children mining tanzanite in mererani would be able to go to school in Kenya for free seeing that Kenya provides free primary education (fyi- Kenya is currently working on a free secondary education as well) before Tanzania implements free education???

Envoy for good governance and ethics

Unregistered said:
Jamani,

Huu mjadala wa shirikisho ni mzuri kweli kweli na hasa kwa sisi watanzania.

Kwa hakika wale wote, kwa maana ya watanzania, wanaoshabikia shirikisho la Afrika Mashariki nadhani wana matatizo yao, tena basi makubwa. Kwa maoni yangu shirikisho ni kitu ambacho hakifai, mimi hata kusikia tu neno lenyewe napata kichefuchefu. Ni lazima tujiulize sana sisi watanzania faida na hasara za kujiunga na shirikisho. Kama ziko faida ni chache kuliko hasara ambazo ni nyingi. Ni wazi kuwa shirikisho linafagiliwa na wakenya ambao ndio walikuwa msitari wa mbele kuvunja jumuiya ya afrika mashariki mwaka 1977. Hasara kubwa itakayotokea kwa shirikisho hilo ni kuingizwa kwa utamaduni mpya wa chuki za kikabila nchini Tanzania zitakazoletwa kutoka Kenya. Wakenya ni wabinafsi na "arrogant". Wao wenyewe hawapendani- mjaluo, mkikuyu, mluhya na kadhalika. wanabaguana kweli kweli. Ubaguzi huo utaletwa tanzania na kuleta machafuko makubwa. Kenya inataka shirikisho kwa kuwa ina viwanda vingi hivyo wanataka soko pana la bidhaa zao ambapo umoja wa kiuchumi tu hautoshi isipokuwa ni bora kuwa na umoja wa kisiasa(kwa maana ya shirikisho) ili kuwa na uhakika zaidi, kwa mawazo ya wakenya. Wakenya hawan ardhi ya kutosha na siku zote wamekuwa wakitoa mate ya tamaa mithili ya fisi wenye uchu wakitamani ardhi ya tanzania ili waje wafaidi ndani ya shirikisho. Ni kweli tanzania inaweza ikafaidika hapo baadaye katika shirikisho hilo na hasa kwa upande wa mbinu za kibiashara, lakini hii itakuwa ni baada ya muda kupita.

Kimsingi shirikisho ni kitu ambacho kinaweza kikaleta balaa kubwa mno katika eneo hili la Afrika kwa kutokea mapigano ya wenyewe kwa wenyewe. Mapigano ya huko Tarime ni mwanzo tu na yataongezeka zaidi wakija wakenya. huwezi kufanya urafiki na wakenya. Wale waliofanya kazi na wakenya wanafahamu tabia yao ilivyo ya ujeuri, dharau, manayanyaso na hata wizi.

Haya, piganieni hilo shirikisho muone kitachotokea miaka 50 ijayo ambapo vizazi vyetu vitakuja tulaumu sana kwa uijnga tulioufanya mpaka kukubali shirikisho.

tatizo la wanasiasa wetu ni kwamba wakati mwingine huwa hawaoni mbele. wanaangalia manufaa ya leo lakini hawafanyi tathimini ya kina kuhusu kile kinachoweza kutokea baadaye. Shirikisho ni balaa, ni balaa tupu. Wanasiasa wetu wanadanganywa, wanakuwa waoga kusema ukwelim kuhusu ubaya wa shirikisho. Nimewasikia wakisema mazuri ya shirikisho lakini hawasemi mabaya ya shirikisho. Wananchi wa Tanzania ni lazima wafahamishwe mazuri na mabaya ya shirikisho ili tuweze kupima katika mizani. Kinachofanyika sasa ni kuwaburuza wananchi, ili waone shirikisho ni zuri wakati siyo kweli. Hii ni mbaya sana.

mbavile edson
 
The East Africa Federation Union (EAFU) is a premature move in EA countries.
Three reasons why I say so:
1. Non Levelled Grounds
In all countries the ground is not levelled and hence these irregularities might spark into breakage of the federation. For example:
1.1 Land Ownership: In TZ is solely owned by the Govt, while in KE partly Govt and most of them tribal communities. This means many Kenyans can easily come to TZ and grab the land while TZ cannot. TZ is therefore at a loosing side in this Federation.

1.2 Businesses friendliness: Many KE would easily establish Biz in TZ while TZ will face very tough hatred and their investments vandalised in KE.

1.3 Tribalism: KE is ruled and controlled by tribal factions. If they can not be in harmony among Kenyans themselves, how much more for an alien from either TZ of UG penetrate KE.
1.4 Economy Imbalances:
Frankly speaking KE is on forefront economically than TZ or UG. In this scenario KE would swallow many businesses in the region, and dominate the markets and means of production.

2. Political Instability
Region Integration Must be Initiated by wananchi-Not political leaders:
EA leaders want to show the World how they could drive issues regardless of what wananchi are saying.
Before bring these countries, they must be common constitution for each country to base is own constitution. For example:
2.1 Term of Presidency:
TZ is two terms of five years each. UG- it depends who is on the throne. KE - unstable- Mwai Kibaki wants to stay forever driving constitution changes. Why bring such mess together.
EA should have rebuked HE Museveni for clinging to power unnecessarily. There are other potential noble leaders who could be presidents and drive UG to the next level. Does it mean he is the only wise many in the country? I think TZ shouldn’t entangle itself with such greed leaders. Let political issues be levelled and give each country time to adhere to it.

2.2 Rule of Law:
At least TZ is coming back to its feet to be led by rule of law. But KE and UG is controlled by bullets and political drives. That would not be a conducive place for EAFU.

2.3 Check and Balances:
All countries do not have a genuine checks and balances systems on political drives. Parliaments should have power to make a vote of no confidence to a president to resign if he/she messes the country. Right now once a president is elected, even if he/she changes colour on the way and become a monster, there is no definite means to sack him/her out.
Current leaders may not buy in these sentiments because they are enjoying now, but if you ask former President of KE- Moi will agree with me, because is currently out of the office.

3 EAC or SADC:
TZ is at the cross roads of which way to go. I would suggest, concentrate on SADC and let EAC come in by default over time. At least SADC is more orderly and would bring more needed synergies together in the region.
TZ should not drag its feet on this. Concentrate on SADC let KE and UG- table a formal request to join SADC instead.

I rest my case

Thank you.
 
East Africa Federation Union -NO!!, NO!!

Watanzania jiulizeni:

Kuna nini hasa cha kukimbilia kwenye hilo Shirikisho? Tunakosa nini sasa hivi ambacho shirikisho litatuletea? Soko? La bidhaa gani? Kazi kwa wananchi wetu? zipi? Nini hasa? Mijadala kadhaa pia inaonyesha jinsi tulivyo tofauti, wao kama wanyama wanaodiriki hata kumtukana Rais wetu kwa matusi ambayo hayatamkiki!

Kama sisi ni wavivu na kwamba tumezoea kupewa vya bure, na wao ni wachapa kazi, basi nafikiri tupewe muda wa miaka 25 ili tukaribiane, kimaadili, kabla ya kuungana.
 
Unregistered said:
are you guys for real? what is this hatred you have towards kenyans? it pains me, as an east african, to see such vitriolic hatred spewing out of the mouths and brains of people i regard as my brothers and sisters. i can see what tanzanians and south africans have in common - xenophobia! you should look inwards and ask yourselves why you hate people who have so much in common with you. i can understand a white european or american having such thoughts about me. but a black african, and an east african at that? IT IS A SHAME! This blanket condemnation of kenyans as arrogant, rude and thieves is beyond comprehension. you should know better than that. stereotyping never got anyone anywhere. this east african community thing is a viable idea in this day and age. wake up my brothers and sisters and smell the coffee. we have to strategise in order to survive in this global economy. or haven't you ever heard of the adage, there is safety in numbers? maybe i should say, 'umoja ni nguvu.'
i could go on and on. nawaomba ndugu zangu mjiulize kwa nini mnawachukia wakenya na wauganda hivi. si vizuri. sisi ni ndugu na ni lazima tusaidiane, ama wote tuangamie katika dunia ya leo.
elizabeth- a proud kenyan.

Elizabeth,

True theres safety in numbers but will that safety be to all or just some of the members? Umoja ni nguvu, yes but nguvu kwa nani? kenya pekee au kwetu sote? And why has it suddenly become important? It was not in 1977, when Kenya brought it down. The reasons are well known, kenya wants all and nothing for anybody else. Nguvu and Safety in numbers are better built through shared benefits! They are more sustainable!

And we do not hate kenyas at all, we are just suprised how kenyans can be so abusive to our leaders!!

proud tanzanian
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom