bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,017
- 929
Oversize...Magu boy katisha
Naam, nilitaka kusema hivihivi.Uhuru kapendeza sana na height na weight yake zimembeba
hiyo hiyo tosha sana kwani anagombea umr......Oversize...
Hahaha lazima angependeza na ule weupe wake ingematch rangi ya kombatiNaam, nilitaka kusema hivihivi.
Hasa urefu...
Can you imagine angevaa Lowassa?
Vitani uta-shine vile vile afu unageuka kuwa target nzuri sana ya adui.Kenyatta imemtoa sana,...BTW Uniform zao ni nzuri coz zinashine.
C in C Commander in Chief kama walivyo ma Rais wengineHivi Kenyatta ni Generali??
we mchocheziView attachment 391001Kuna watu warefu jamani,Uhuru na urefu wake wote lakini si lolote kwa hiyo njemba iliyokakamaa hapo.
Sipati picha angekuwa 'wa nchi hii' ingekuwaje...