Hizo bei zimeanza/zitaaanza lini?
PAYU ndio ISP gani tena?PAYU hawana monthly cap, ni unlimited access
PAYU hawana monthly cap, ni unlimited access
PAYU ndio ISP gani tena?
Ndio, PAYU ni Pay As You Use, www.payucomputing.com. Ni ISP mpya hapa bongo, wanaotaka kuwapa uwezo wa kompyuta kwa wote. Wao wanao kompyuta, aidha desktop au laptop, ambayo unaweza kutumia kwa kununua vocha kama simu. Unapata utumizi wa kompyuta, wa internet na pia software mbali mbali kwa kutumia vocha hiyo.Kwa maelezo zaidi kuhusu PAYU wasiliana nasi kwa
Web: www.payucomputing.com
E-mail: ifor@payucomputing.com
TELEPHONE: +255652-650-479
Pay As You Use.
1: Wanaposema the fibre optic has virtually unlimited bandwidth wanamaanisha nini hasa
NyU,
Nadhani hii ni very theoretical. Theoretically, other technology za communication (wires, coaxial cables, and microwave links) zinaweza kuruhusu kwa mfano watu laki tano (500,000) kufanya mazungumzo kwenye simu kwa wakati mmoja. Lakini fibre optic communication technology (theoretically) inaweza kuruhusu watu billion hamsini (50,000,000,000) kufanya mazungumzo ya simu kwa wakati mmoja. Kwa mujibu wa UN idadi ya watu duniani ni kama bilion 7 tu. Nadhani ndio sababu wanasema fibre optic has virtually unlimited bandwith!
kuna haja ya kuona jinsi ya kuboresha hata vijijini wanapata huduma kama hii maana ni hatari sana kuona wananufaika mijini
huna haja ya kubadilisha kitu chochote, ila internet connectivity itakua fast na isp's itabidi wapunguze charges kwani hawatahitaji kulipia satellite connections. An optical fiber cable is a cable containing one or more optical fiber. The optical fiber elements are typically individually coated with plastic layers and contained in a protective tube suitable for the environment where the cable will be deployed.