Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,695
- 1,696
duh! hiyo kali mkuu,live kupitia Tanesco? au TTCL mkuu? hiyo kali sijapata kuisikia kabisa.Ahsante kwa breaking news yako.
Mkuu Josm;
Kwa taarifa tu ni kuwa - TANESCO katika High Tesion Lines zao za Grid ya Taifa wale Optic Fiber juu yake. TTCL hawana fiber as in TANESCO.
Hawa jamaa wa SEACOM the minimum you can buy from them is 155 Mbps. So, it is expensive. Only Major ISP or Telecom companies can buy.
Normal price ya 1 Mbps/1 Mbps inategemea kuwa kati ya $ 1000 - 1500
Before that same capacity ilikuwa ni zaidi ya $ 5000