Earphone za Blackberry zinahitajika

baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
165
Mambo vp wakubwa' natafuta earphone za blackberry na ni zile za pin kubwa. Mwenye nazo anichek kwa PM na bei yake anitajie.
 
Blackberry inatumia earphone za kawaida. Nenda kwenye maduca ya vifaa vya muziki hata kwa wamachinga zinapatikana pia. Kama upo dar nenda posta mpya, kila mmachinga pale chini anazo
 
mkuu bwana ..ninazo oroginal hazitumiki uje uchukue tu bure..ntakuwa calabash mida ya saa sita....namba yangu si unayo ni text basi..
 
Ina maana wewe shaba? Mbona watoa tu bure?
 
mkuu bwana ..ninazo oroginal hazitumiki uje uchukue tu bure..ntakuwa calabash mida ya saa sita....namba yangu si unayo ni text basi..

Hahaha poa bro ntakucheki mida basi. Afu ule mzigo ukiingia jpil ntakustua! Shukran sana!
 
Blackberry inatumia earphone za kawaida. Nenda kwenye maduca ya vifaa vya muziki hata kwa wamachinga zinapatikana pia. Kama upo dar nenda posta mpya, kila mmachinga pale chini anazo

Mzee me nilikua nataka original kabisa lakini si ishu nimeshapata. Asante kwa ushauri pia!
 
Back
Top Bottom