Mkubwa,hizi ni original?
Ningependa kupata zile zilizotoka na simu
Marty ntakucheki. Nataka hizo mzee' si zile zina logo ya BB kabisa?!yeah hizo hzo
Marty ntakucheki. Nataka hizo mzee' si zile zina logo ya BB kabisa?!
kaka hizi si nilikupa wewe au na wewe unafanya biashara ..kheeee
Marty ntakucheki. Nataka hizo mzee' si zile zina logo ya BB kabisa?!
Poa mkali wangu ntakucheki kesho jmos.yeah zipo man