Earn £150 to £350 a week

MARA NYINGI CHEZA NA GOOGLE NDUGU YANGU UTAIBIWA SANA HAPA MJINI NDUGU EBU GOOGLE HILI JINA
DataInDevon
 
wengi wao ni wezi hakuna kazi wala kibarua wanakusanya tuuu pesa hao, nilikutana na moja wanataka US$ 130, nkaamua kuwapotezea, wakanambia basi toa 40, nakagoma, wakadai basi hata 10 tukupe kazi pia nkagoma sasa kama ni siriaz hizi range ni za nn kama wamachinga!!!!
 
  • Thanks
Reactions: viz
wanipe kazi halafu watakata nitakapolipwa mwanzo tu nawapa chao kama si hivyo waungane na wale matapeli wenzao
 
Back
Top Bottom