EAC: The inline plan of the NEW WORLD ORDER?

Mojawapo ya maazimio ya
New World Order, na jumuia zake ndogondogo kaa Freemasonry, Bilderberg
et al, ni ku-centralize kada za maamuzi. Tumeshaona Europian Union na
makeke yake,na soon tunaona tunavopelekwapelekwa kwenye hili dudu
linaloitwa EAC. Hii itafanikisha maamuzi ya pamoja, na hawa mabwana
wataeza ku-exploit hili eneo with an ease.

Tunaona kwa kasi mambo kadhaa, mathalan, 'Catholic' or 'Global'
financial crisis, global swine flu, global invetsment, global war on
terror, and so many other 'globals'. Hizi ni movements ambazo
'zinatengezwa' maabara ili kuekwe in place 'global solutions'. Hii ni
ground ya police global state, global police, global army, global
central bank etc.

Natarajia wengine mtaongezea nyama hapa..Karibuni.

Nilikuwa sijuhi kuwa Financial Global Crisis pia inatengenezwa ktk Maabara! Bagosha!
 
Nafurahi kuona watu wanawafuatilia hawa watu NWO, these guys are smart and dangerous as Saturn. Natafakri, kama hata viongozi wa makanisa na misikiti tunaowaamini wameenda kutumika huko, Basi NWO watachukua DUNIA in few years to come.
 
so what is your problem here? new world order? how bad is it for you?

kwangu mimi ni mbaya, lakini sababu mojawapo ya new world order ni waislam na ugaidi, inafika kipindi watu wanaona bora waungane ili kufanya jumuiya moja washirikiane. wasipofanya hivyo, nchi mojawapo ya kiislam wakati wowote wanaweza kutangaza jihad, au boycott ya bidhaa za nchi fulani kama Denmark na Switzerland bila hata sababu. waislam wameungana kusapoti ugaidi through NGO zao, sasa nchi zingine wafanye nini wakati wanaona kufanya biashara ni kugumu, maisha magumu...si watatafuta instrument moja itakayowashurutisha wanadamu wote duniani ili wafuate kile mtu mmoja anachosema? and this is what is going to happen, the new world order preparing kwaajili ya mpinga Kristo...hapo ndipo kwenye hekima ya watakatifu, kwasababu ukiona hivyo ndo mwisho wa dunia umekaribia.

hata hivyo, EAC si mpango wa new world order, new world order ni zaidi ya east africa community. ungeongelewa Umoja wa mataifa walipotoa proposal ya New world order, Uingereza na marekani walipotoa hiyo proposals, na nchi zingine, nitasoma kwenye kitabu hapa halafu nitoe maelezo vizuri kuhusu hii order anayoongelea hapa, ila for sure, haihusiani na EAC. HIVI KWANINI WAISLAM WOOOTE WANAICHUKUA EAC? kisa chao ati wanaona watamezwa na wakristo.....akili ya samaki hii...ubongo wake mdogooooo, libichwa hilooooo.

Kama kitu hujui jaribu kukaa kimya ujifunze. Ingia library usome history ya hivyo vitu sio unakimbilia kwenye udini. Tafuta history ya illuminate walitokea wapi Na sasa wako wapi Na dini hizi zinamahusiano gani Na hiyo kitu
 
mimi hii NWO 4 ze 1st time nilifundishwa o level ktk somo la civics ingawa ktk kipidi kile ckujua madhara yake maana cc tulifundishwa faida zake tu ambazo kumbe zilikua kiini macho,,,ivi sijui kama hii topic ipo bado mashulen au ilifutwa!
 
Back
Top Bottom