duh kazi kweli kweli na Hawa wahindi hawafai hata kidogo
Hivi kwanza hivyo viungo walipata wapi? Je ndugu wa hao marehemu walijua juu ya viungo vya wapendwa wao viliondolewa???
Nimeamin kweli sasa pumzi ikiacha mwili, mwili unakuwa chuma chakavu
Waziri wa Africa mashariki mnamjua. anawania kumrithi baba R. Wahindi ndio waliobobea kwa rushwa unategemea nini ? Graduates wengi wa IMTU ni makanjanja lkn hawawatibu viongozi. viongozi wetu wanatibiwa A. kusini na Ulaya. Acha Mtz aendelee kupata maisha mazuri kwa tiba ya makanjanja wa imtu. Na hii kesi mark my words baada ya wiki hii hutaisikia tena.
sas mkuu inakuaje na wale waliokwishagraduate?watafutiwa vyeti vyao au?
nakutafuta nikupige PR
Mimi hii Nchi naishangaa sana, haiwezekani mtu ana dv 3 or 4 akasomee Degree of Medicine, ni ujinga sana. A doctor must be very bright siyo hawa wa kwetu.
Hivi ni radhima kila chuo kitoe madakitari!
Nchi imejaa wasen.. Na viongozi wake makanjanja tu.
Tukio kama hili is very sharm to Tanzania mapicha yanasambazwa sna. Liraisi letu nalo liko Songea sasa hivi na hakuna kitu limesema about this issue. Viungo vya binadamu I don't think if is a joke
Mnisamehe nahasira sana na hili linchi, ujinga mwingi sana aisee
Hivi kwanza hivyo viungo walipata wapi? Je ndugu wa hao marehemu walijua juu ya viungo vya wapendwa wao viliondolewa???
Mkuu kwa wale waliopita medical school na kuyaishi maadali yao wanatambua miili ile ni sehemu ya walimu,sio maiti bali ni waalimu wa udaktari.
Wanaatahili kuhifadhiwa kwa utu na ubinadamu wa hali ya juu.
Tanzania tunaendekeza mzaha mzaha mpaka kwenye afya ndio maana leo hii kuna uyoga wa vyuo feki eti vinafundusha udaktari,uuguzi n.k yaani afya inachakachuliwa kama elimu...afya imekuwa ajira na si wito!!
NA BADO KUNA MENGI YANAKUJA!!
Ha ha haaaa huna maaana!!!!
Unahisi ana BPH???!!!!!
duh kazi kweli kweli na Hawa wahindi hawafai hata kidogo
Kwani mbali mkuu?
Tusubiri impact ya hii fungulia mbwa ya BRN!
View attachment 37874
EAC Patner states Medical and Dental Boards Ilifanya Ukaguzi katika vyuo vinavyotoa Fani za udaktar MD na DDS katika nchi wanachama hapo mwaka 2009. Katika Report yake Council hiyo Imeiagiza wizara ya Afya kwa kushirikiana na waziri wa Afrika Mashariki kuhakikisha chuo cha IMTU kinafungwa mpaka kitakapo meet the minimum requirements.
Sasa hawa wahindi walivyobobea kwa rushwa mpaka sasa chuo bado kinaendelea kuchakachua taaluma ya Afya, huku wakiwatoza ada vijana wetu kwa USD ambazo ni shurt ziwe deposited bank of INDIA.
Jisomee mwenyewe report hiyo hapo juu (Tanzania) section 3.1.3