NDINDA
Platinum Member
- Apr 4, 2011
- 10,322
- 47,040
Attn Nairoberry. It is illegal to copy and post my work without my authority. I demand you
withdraw the entire copy. I doubt whether this forum allows anyone to plagiarise any body's intellectual property
wakenya wanajiita wao ni smart africans, educated business minds, sasa huyu nairoberry ina maana hajaelewa kuwa huyu mwandishi ana blog yake, na anahitaji viewers ili blog yake ipande chati na aweze kutanganza biashara za watu ile atengeneze vijisenti? ndio maana mwandishi kaandika kidogo halafu akatoa link, ukitaka kusoma zaidi uende kulee kwenye blog yake na hivyo utakua umeongeza visitors katika blog yake, sasa hili jamaa limeenda kucopy kazi yote na kuiweka hapa hadharani,sasa nani atabonyeza hiyo link tena, ushamdhalilisha mkuu kibusiness hapo, du kazi ipo, ila wakenya nao mmezidi, kila siku mnaandika vitu kibao kuhusu Tanzania, nyie mnalalamika tuuu, Tanzania hiki , Tanzania kile, halafu hata hamuoni aibu, kuna nchi tano, ni nyinyi tu ndio mnaona Tanzania ina matatizo au kwa kuwa mnapenda tu kupaka matope, halafu kuna jitu eti CCTV live animal migration linadiriki kuutangazia umma maana ile ni CCTV ENGLISH inatazamwa dunia nzima linatangaza eti wanyama hawajafika kwa kuwa Tanzania imechoma moto nyasi ili wanyama wasipite waje kenya, du, nyie watu mna roho mbaya na Tanzania kama wauza sumu, nadhani Tanzania inawafanya mkune vichwa au inawaweka matumbo joto kwa vile mambo yanavyozidi kubadilika na sivyo manavyotufikiria kila siku the sleeping giant la miaka ya sabini(eti mwatudharau sisi wajamaa, nyie mapepari toka enzi zile basi ni aiubu sna kua katika hali mliyonayo sasa hivi, mngekua kama south africa labda hata nisingelaumu kelele zenu hizi kuhusu nchi yetu. kama mtu hakupi challenge yoyote na humuoni kama ni mshindani wako katika mambo mengi sidhani kama mngekua mnahaha hivi, IMO
:lol: