EABL Wanataka kununua Serengeti kwa udi na uvumba

MtuKwao

JF-Expert Member
Oct 7, 2006
265
69
Kuna tetesi kwamba EABL (Kenya) wanatamani sana kuinunua Serengeti, ambayo imneweza kutoa ushindani mzuri sana kwa TBL pamoja na kwamba ina brand moja tu ambayo ni popular.

Kuna tetesi pia kwamba TBL wameiga formula ya Serengeti yanye wanywaji wengi na kutoa Ndovu Premium ambayo wanywaji wanasema ni Serengeti kwa jina jingine.

Kuna tetesi pia kwamba TBL wanagawa kreti za bure kwa mabaa yatakayokubali kutouza bia ya serengeti!

Wenye ukweli watueleze.

Kama Serengeti wanataka mtaji, wauze hisa kwa watanzania.
Kama TBL wanafanbya mchezo mchafu ili wabaki wenyewe, Serikali ishauriwe kuingilia kati kulinda ushindani na ajira za watanzania ...
 
kuna tetesi kwamba eabl (kenya) wanatamani sana kuinunua serengeti, ambayo imneweza kutoa ushindani mzuri sana kwa tbl pamoja na kwamba ina brand moja tu ambayo ni popular.

Kuna tetesi pia kwamba tbl wameiga formula ya serengeti yanye wanywaji wengi na kutoa ndovu premium ambayo wanywaji wanasema ni serengeti kwa jina jingine.

Kuna tetesi pia kwamba tbl wanagawa kreti za bure kwa mabaa yatakayokubali kutouza bia ya serengeti!

Wenye ukweli watueleze.

Kama serengeti wanataka mtaji, wauze hisa kwa watanzania.
Kama tbl wanafanbya mchezo mchafu ili wabaki wenyewe, serikali ishauriwe kuingilia kati kulinda ushindani na ajira za watanzania ...


mizungu sio mijitu mizuri hata kidogo..]
geeorge and dragon hawauzi serengeti kabisa...
Kisa kiwanda cha wadosi.....
 
Back
Top Bottom