Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Sijui ni nani aliye/anayeandaa vitabu vya historia ya Kenya ndani ya bara la Africa? Huyo mtu ni mahiri sana maana amefanikiwa kuaminisha watu mambo anayotaka yeye huyo mwaandaji. Historia ya Kenya kwenye ukombozi wa nchi nyingi Africa si nzuri, there are scars of biblical propotions na lingekuwa jambo la kiungawana kutumia historia kama mwalimu ili kuboresha mambo huko mbeleni. Wakati nchi nyingi zijitoa kwa "pesa na maisha" na kushinikiza trade embargos na Afrika Kusini, serikali ya Kenya waliona opportunity nzuri ya kufanya biashara na makaburu! Hili ni doa baya sana. Sina hakika wananchi wa Kenya walijua kwa kina hili? tuachie hapo.
NB: Kibaridi, Mandela alikaa jela miaka 27 na sio 35.
Mkuu wale usishangae, mimi nafikili shuleni walikuwa wanafundishwa the "EVIL of Communism/Socialism na Blessings of CAPITALISM" doctrine hii hiko embeded kwenye subconscious ya baadhi yao lakini si wote, mkuu wanaitaji daktari bingwa wa caliber ya Sigmund Frued ndiye pekee ambaye angeweza ku-ERASE completely remanent ya doctrine hii kutoka kwenye fikila ZAO. Wewe jaribu kusoma kwa umakini baadhi ya post zao kwenye JF, mwenye remanent ya doctrine hiyo utamjua tu, wewe unaweza kuzungumza kitu cha kawaida tu-lakini watakujibu kwamba nchi yao sasa hivi inajitayarisha kurusha roketi kwenda mwezini, siyo utani! kuna mmoja wao aliwahi kusema come 2025 Nairobi itakuwa hiko mbali sana kuliko J'Burg (building castle in the AIR)!
Nimeyasema haya kwa kuwa wakati mwingine wanahudhi sana, hasa hasa inapokuja kwenye swala la UKOMBOZI wanatafuta kila njia ku-water down mchango wa TANZANIA iliyo utoa kwa hali na mali kuwakomboa ndugu zetu kusini mwa Africa, wenyewe walikuwa wanauchapa usingizi na kuendelea na bihashara zao as if upatikanaji wa uhuru wa wenzao had nothing to do with 'em in other words "HAIWAHUSU KABISA!!" wakati wenzenu tuna-shade blood and tears kuwakomboa wenzetu nyinyi walaa!! Si hilo tu wanakwenda mbali zaidi kwa kuisema vibaya TANZANIA kwa mambo ya kutunga tu, au wakati mwingine ku-quote magazeti ya nje/south africa yenye questionable credibility-hawajuhi kama mwandishi ni mzugu kaburu au wa Rhodesia/Zimbabwe na anapotoa makala hizi anakuwa na lengo GANI - mtu unategemea wazungu hawa wata andika habari nzuri kuhusu TANZANIA!!, lakini kwa kuwa wote ni "like mind wana-swallow a hook and the sinker" katika harakati zao za kutaka kuhikandia TANZANIA.
Mkuu umesema vizuri sana katika kipengele hiki, na hapa naku nukuu "Historia ya Kenya kwenye ukombozi wa nchi nyingi Africa si nzuri, there are scars of biblical propotions na lingekuwa jambo la kiungawana kutumia historia kama mwalimu ili kuboresha mambo huko mbeleni" Mkuu, siyo kuboresha mambo tu, wawe waungwana kwa kuomba mshamaha kwa nchi hizi za kusini mwa Africa, lakini cha ajabu wanazisema vibaya nchi za SADC ambazo ndizo zili-bear the blunt ya harakati za UKOMBOZI. Kwa leo naishia hapa.