e-mail ya balozi wa Tanzania Ufaransa yaibiwa

J4MAYOKA

Senior Member
Jul 16, 2011
147
84
espionage au?
BALOZI.JPG





MICHUZI: Jihadhari:email ya balozi begum karim taj imeibwa
 
Oh Tanzania ni kawaida kutokuwa na tahadhari kabla na hata baada
 
Huyu Michuzi hivi hakuna watu wa kumshauri kwamba hata kama ni uroho wa hela za sponsors kuna namna ya ku design blog isiwe that much of an eyesore?
 
email emaibwa?Kivipi sasa?wameiba password na kubadili akashindwa ingia au ?
 
Aiseeee baba yangu hapo cha ajabu nini!?????tunaibiwa madini sembuse hicho
Umemaliza kila kitu mkuu. Haya mambo ya kuibiwa password ni ya longtym mno, huyu mama nawasi wasi na uwakilishi wake wa Tanzania. Haiwezekani ofisi nyeti kama hiyo uibiwe email password, au wenzetu wanachukulia nyazifa walizonazo ni kama monitress wa darasa shule ya msingi? Au kwa sababu ni za kupeana kishikaji ndiyo maana hakuna umakini wowote?
 
Hiyo email nataraji ni ya kiofisi na sio binafsi. Kwa sababu kama ni binafsi sielewi kwa nini amejaza mi-vyeo hapo.

Ila sitashangaa kusikia hana emails tofauti kwa mambo binafsi na ya kiofisi na sitashangaa vile vile kusikia email binafsi anajaza vyeo vya kiofisi
 
Huyu Michuzi hivi hakuna watu wa kumshauri kwamba hata kama ni uroho wa hela za sponsors kuna namna ya ku design blog isiwe that much of an eyesore?

Kwanza na hizo adverts zake zina rangi za hovyo mpaka zinaharibu macho. Atafute watu wamshauri upya kuhusu hii blog yake na jinsi ya muonekano. It is too much.
 
Hata mimi jana nilipokea email ya mtindo huo kutoka kwa mtu ninayemjua.
Ukipata emeil kama hii toka kwa mtu unayemjua, potezea:
flight ticket



Viernes 17 de agosto de 2012 16:30


Please i need a little favor from you today,I attended a seminar in Ghana and i was robbed, all my money and document where all gone i only have my passport here am so confuse and i need help with a flight ticket urgently

Please let me know how you can help me.

Au tahadhari hii, jihadhari nayo, usi"UPGRADE":

Dear user,

Thank you for being a Yahoo! Mail user for the past year(s). We look forward to bringing you an even faster, safer, easier-to-use Yahoo! Mail very soon.

This is to inform you that your account has been selected for our recent upgrade. All Yahoo! Mail customers will be asked to upgrade. You have been selected for the first upgrade batch, you don't have to wait, you can have the newest Yahoo! Mail today. Click Upgrade Now and log in with your details.

 
mama kakaa vizuri sana. anatamanisha mbaya ni lazima iibiwe we si unamuaona jinsi alivyo noumer
 
hawa ni wale watumiaji wa computer ambao huwa hawakujalia jua misingi midogo ya kuwa kutumia computer safely. Yaani kama kujua jinis ya kulog off/sign off kabla ya kuondoka, kutotumi kila computer linapokuja suala la emailing tools. Hawa hawa huwa wana press okay kila message inyo pop up ,iwapo inakwenda.Huwa hawapendi uliza watu wajuao vitu pale wanapohisi kuwa kuna kitu awajui.Sasa kama wao huwa wanauliza hawa wajomba na wapamabe wadhaniao kuwa ni wajuaji then wana issue.Huyu mama inaweza kuwa huwa anakubalia tuu ili awahi inbox pale browser inapomuuliza kama anataka passoword yake ihifadhiwe katika browser.Sasa kama alifanya hivyo halafu baadaye akaona kuwa Laptop yake imepitwa na wakati na hivyo atumie hele ya serikali kununua ingine ya kujionyesha mbele ya watu,huku akimpatia wanaomzunguka katik kula nchi na wao wakaingia nayo uraiani.Basi kuna mengi mama keshapoteea nchi, na mengi zaidi mama hajui kama kapoteza kwani kama kichwa yake ni ile kwamba kufunga browser ndio kutoka, upress delete ni kufuta file katika windows, na msahuri wake wa IT anaamini kuwa kuwa kufuta katik recycle bin au kw SHIFT+DEL ni kupoteza file kabisa,au kuwa na antivirus yenye updates ndio kuzuia kila virus na trojan basi kuna Issue.

Kuna wabongo kibao wapo katik office muhimu hawana elimu ya msingi ya security katika computers.Kuna kipindi hapo Bongo Computers za serikali zilikuwa zikiuzwa katik auction zikiwa na hard Disks zake.Au hata kupelekwa kwa kiongozi na kiongozi kuzitapanya kwa jamaa zake.Mwenye akili anaweza ona jinsi walivyokuwa wakijianika.Hivi bado wanafanya hivyo tuje anzisha deal ya kutafuta data.
Teh teh....nchi ya wenda mashetani kama si wenda wazimu.
 
Watakuwa wanamaanisha password.

sasa si wa waifute km si mojawapo ya public domain.Na pia kama ni public bado anaweza wasilisha kwa wahusika Yahoo,Google office za France au hata UK with evidence kuw ani yake kwa kutaja hata emails chache zilizopo ndani na info kidogo watamsaidia reset.
 
Back
Top Bottom