E mail tatanishi

Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
74
Nimefungua inbox yangu na nikakuta hii email. Baada ya hapo ilipelekwa moja kwa moja kwenye spam bin. Kama ukipata kama hii, tafadhali fanya hivyo hivyo:

Hello dear new friend.
Glad that I'm just browsing now in the Internet and found your profile and i was much feelings over it,I'm miss Rose khalifa by name,please i will like us to hold a good relationship with a real love,I'm happy to look at your profile today ,you sound so gentle to me that was the reason why i fall very much interested in you,contact me personal with my private box (
rosekhalifa2006@yahoo.com) for more introduction also i will sent my pictures to you so we can know more about each other,i will be happy to see your mail my dear,age or colour even distance can't deny any genuine love,so please lets give our self a trial,thanks till i hear from you,
miss Rose
 
Hehe eeeeeeee! Niliwa kupata e-kutoka kwa huyu nilipojaribu kuchat naye akasema yeye ni mkimbizi yuko kambini senegali na ni yatima lakini baba yake ameacha pesa nyingi nimsaidie ziingie kwa a/c yangu then mambo yetu yatakuwa swaafi. Nilipoendaenda naye ikafikia mahali mimi nilitakiwa nitoe pesa (dollars) nyingi tu ili tufanikishe fund transffer hiyo. Na hapo ndipo niliposhtuka kuwa kuna mchezo mchafu na nitakuja lia mbaya.

Huwezi amini atakupa mpaka contct za wanasheria na utawasiliana nao na hao ndiyo watakao hitaji hizo pesa.

Take care ndugu.

Ninakuhakikishia e-address iliyokuwa ikitumiwa ni hiyohiyo.
 
Asante Kka Mkubwa. Kwa kawaida huwa sijibu e mail kama hizo. Nilikuwa natahadharisha tu, maana dada yangu ameshatapeliwa euro nyingi baada ya kuambiwa kuwa ameshinda lotto.
 
Kuna moja kama hiyo, baada ya kumjibu alikuja na maneno kibao ya mapenzi na picha tele, awali alisema yupo Paris, lakini kwenye majibu yake akasema yupo Russia mikoani.

Baada ya barua kama nne ambazo zote alikuwa akijielezea yeye mwenyewe, akatoa wazo la kukutana nami. Mimi nilishangaa sana inakuaje akutane nami ilhali hajui chochote kuhusu mimi, hata hivyo nikamwambia hakuna tatizo lolote tunaweza kukutana.

Hapo ndipo nilipokuja kujua kwa nini anataka nikutane nae. Aliniomba nimtumie pesa za maandalizi ya safari yake pamoja na nauli.
 
hehe eeeeeeee! Niliwa kupata e-kutoka kwa huyu nilipojaribu kuchat naye akasema yeye ni mkimbizi yuko kambini senegali na ni yatima lakini baba yake ameacha pesa nyingi nimsaidie ziingie kwa a/c yangu then mambo yetu yatakuwa swaafi. Nilipoendaenda naye ikafikia mahali mimi nilitakiwa nitoe pesa (dollars) nyingi tu ili tufanikishe fund transffer hiyo. Na hapo ndipo niliposhtuka kuwa kuna mchezo mchafu na nitakuja lia mbaya.

Huwezi amini atakupa mpaka contct za wanasheria na utawasiliana nao na hao ndiyo watakao hitaji hizo pesa.

Take care ndugu.

Ninakuhakikishia e-address iliyokuwa ikitumiwa ni hiyohiyo.

lazima ataanza na story za mapenzi na kucctiza sana kwamba umsaidie ili atoke kwenye shida na aje huku mle raha pamoja anakupa na namba ya simu ya father fulani eti ni kiongozi wa kambi hiyo.
 
Yaani hii iko siku nyiiiiiiiiiiiiiiiiingi and its the same bull sh**t. Huwa anavizia wanyonge wenye tamaa na hela wasizozitokea jasho hehehehe....mimi nilimjibu nikamwambia hizo hela agawane na ndugu zake........hakunijibu tena. BEWARE PEOPLE
 
Just this April alifanya mawasiliano na mwenzangu ofisini akijitambulisha kwamba yuko

IVORY COAST, hadi wakatumiana picha kibao, na akipigiwa simu anapokea. Jamaa

aliliwa vocha hadi tulipomstua kwamba ni "fake Pastor", ndo akastuka!
 
Back
Top Bottom