Dying

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
First I was dying to finish my high school and and start college. And then I was dying to marry and have children. And then I was dying for my children to grow old enough so I could go back to work. But then I was to retire.

And now I am dying

And suddenly I realized I forgot to live.

Plz dont let this happen to you appreciate your current situation and enjoy each day.

''TO MAKE MONEY WE LOSE OUR HEALTH AND THEN TO RESTORE OUR HEALTH WE LOOSE MONEY. WE LIVE AS IF WE ARE NEVER GOING TO DIE AND WE DIE AS IF WE NEVER LIVED''- OLD FRIEND.
 
Live life to the fullest man.

Nakwambia ukizibania, utakula dongo, na wanaobaki watazigombea na wengine (kama akina Msanii) kuzihonga!! hahahaaaaa.

Umenikumbusha ngoja leo niende pale Nikky`s - Njiro kwenye supu ya samaki na crabs wa kubanika. Maisha ndo haya bana...kwani nini?
 
Umenikumbusha ngoja leo niende pale Nikky`s - Njiro kwenye supu ya samaki na crabs wa kubanika. Maisha ndo haya bana...kwani nini?

Du hivi pale bado wanazile samaki zao za foil?du long kitambo, itabidi nitafute sababu niende pande hizo za a tauni
 
...Nakwambia ukizibania, utakula dongo, na wanaobaki watazigombea na wengine (kama akina Msanii) kuzihonga!! hahahaaaaa....
Mkuu mie huwa sihongi nagawana umaskini na wadau wa maungoni kaka.
Hehehe
Hivi kule A Town bado lile Trupa kwa Mrina lipo???
 
Mkuu mie huwa sihongi nagawana umaskini na wadau wa maungoni kaka.
Hehehe
Hivi kule A Town bado lile Trupa kwa Mrina lipo???

We unagawana umasikini na WAREMBO TU? umesikia wapi hiyo? Hiyo ni kwamba unaandaa mazingira ya kupewa sarakasi nzuri zaidi kesho yake!

Pale kwa Mrina kwasasa ndo panatisha mzee... na wewe tena mpenda VICHECHE du!... utauza simu! kwi,,kwiii....!!!

Nawe Mr Burn, Njiro bado mambo inatokota...Hawa jamaa sijui wanapata wapi mapande makubwa hivi ya samaki, sujui ndo wale wa WACHINA na MAKUFULI...!!, maana huku NYUMBA YA MUNGU, tumenyang'anywa zile neti za kulalia ambazo tulikuwa tunazitumia kuvulia!!!! he he..heeee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom