Elections 2010 Dw radio nayo tarehe 28 october ilisema mpinzani mkuu wa jk ni lipumba!

Singo

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,184
1,105
Anae wafahamu wahariri wa idhaa hii ya kiswahili dw radio niliyo ishusha hadhi yake kwa kushindwa fuata maadili naomba majina yao.katika habari yao ya tarehe hiyo 28 october saa saba mchana walionesha pindisha ukweli kwa wasikilizaji wa radio hiyo kwa kutangaza kwamba jk ndie atashinda bila toa sababu, na mpinzani mkuu katika uchaguzi huo ni lipumba wakati watanzania wamefuatilia kampeni na hamasa imeonekana wazi kwamba dr slaa amepokelewa kwa mikono miwili kuliko hata huyo jk ambae alikua akisomba watu na magari na kuwapa fedha kujaza mikutano yake ya kampen. Pia nauliza je udini udini unawafanya hivyo hasa kwa othmani miraji aneonesha kuwa bias sana katika uchaguzi wa tanzania kwa kumpamba jk(rejea meza ya duara tarehe 29 october). Heshima ya mtu kwa jamii ni bora kulKio hata hela wanazohongwa na kupindisha ukweli wa mambo. Mungu ibariki tanzania
 
Anae wafahamu wahariri wa idhaa hii ya kiswahili dw radio niliyo ishusha hadhi yake kwa kushindwa fuata maadili naomba majina yao.katika habari yao ya tarehe hiyo 28 october saa saba mchana walionesha pindisha ukweli kwa wasikilizaji wa radio hiyo kwa kutangaza kwamba jk ndie atashinda bila toa sababu, na mpinzani mkuu katika uchaguzi huo ni lipumba wakati watanzania wamefuatilia kampeni na hamasa imeonekana wazi kwamba dr slaa amepokelewa kwa mikono miwili kuliko hata huyo jk ambae alikua akisomba watu na magari na kuwapa fedha kujaza mikutano yake ya kampen. Pia nauliza je udini udini unawafanya hivyo hasa kwa othmani miraji aneonesha kuwa bias sana katika uchaguzi wa tanzania kwa kumpamba jk(rejea meza ya duara tarehe 29 october). Heshima ya mtu kwa jamii ni bora kulio hata hela wanazohongwa na kupindisha ukweli wa mambo. Mungu ibariki tanzania

98% ya Watangazaji wa DW wanatoka Pwani ya Tanzania. What do you expect from them??
 
98% ya Watangazaji wa DW wanatoka Pwani ya Tanzania. What do you expect from them??

Ng'wanangwa hapo simo au kwa vile ni watani wako. katika kuutafuta uhuru toka kwa mkoloni mweusi tunakuwa kitu kimoja. walioko nje hawawezi kutushauri kitu wao yaliwashinda wakakimbia
 
Ng'wanangwa hapo simo au kwa vile ni watani wako. katika kuutafuta uhuru toka kwa mkoloni mweusi tunakuwa kitu kimoja. walioko nje hawawezi kutushauri kitu wao yaliwashinda wakakimbia

Ni kweli ni watani zangu, lakini utani mwingine unapitiliza ....... kivipi mtu aseme Mshindani Mkuu wa JK ni Lipumba(Prof)? Mnyamwezi?

Bora hata angekuwa Msukuma
 
Back
Top Bottom