Dv 4.19 pcb niende wapi?

Diploma ya ualimu unaweza pigika maana shule za kata waalimu hawalipwi, kuna jamaa yangu ili humus zaidi ya mwaka kupata mshahara. Sikushauri huko

Rev unanifanya nicheke but hata kwa teaching wa primary inaweza kuwa path nzuri pia. Au akasomee Unesi. Zamani nilijua manesi ni wanawake tu. Nadhani kuna uhaba wa manesi wanaume. Hii watu wengi hawajui. Sababu umesoma pcb unesi unaweza kuwa path nzuri pia.
 
rev unanifanya nicheke but hata kwa teaching wa primary inaweza kuwa path nzuri pia. Au akasomee unesi. Zamani nilijua manesi ni wanawake tu. Nadhani kuna uhaba wa manesi wanaume. Hii watu wengi hawajui. Sababu umesoma pcb unesi unaweza kuwa path nzuri pia.

hizo dhalau kama huna mawazo ya kujenga afadhali ukaacha hii sijaipenda
 
Kwanini ulichukua PCB lakini?? Lengo lako hasa lilikuwa nini ulivyoingia kwenye huu mchepuo??yaani madubwasha yote uliyotaja hapo,sijui marketing ...sijui nini are out of ur target!! Au ndo ajali ya elimu/siasa?shule za kata!! Kama una interest na hivyo vitu,then risit kwa kuchukua HGL and relative subjects,coz kwa point 19(1point b4 0) hakuna atakayekuchukua, labda utumie chet cha Form 4.
 
Jamani mimi nimemaliza mwaka huu form 6 nilipa 4.19 pcb yaani fss. Sasa nimejaribu kuulizia vyuo mbalimbali. Cbe wanasema naweza kusoma diploma za Bba,marketing,procument na accountance. Mlimani walisema nisome cheti cha computer science ndo niweze kusoma diploma yake. Ifm naweza kusoma diploma ya It na computer science. Saut naweza kusoma masomo ya pre entry kwa miezi 3 nafanya test nikifaulu nisome dree ya Bba,Advanced diploma ya accountance au procument. Sasa naomba mnisaidie mawazo nichague kozi gani ambayo nikiendelea nayo itanitoa? Af naomba kujua ni chuo gani Dsm kuna masomo ya pre entry. Yaani unasoma kwa mienzi 3 unapiga test ukifaulu unasoma degree. Naombeni mnisaidie
Fuatiria hapo kwenye nyekundu,kama unasema unapenda kusoma nenda kasome hiyo miezi 3 na ufaulu huo mtihani.
 
Wanajamvi, nam nahitaj ushaur wenu naplan ya kuomba course ya international relation,public adminstration na bachelor of project in planing,management and comm development, pale UDOM, Kwa score za 2 ya 12, hkl (d,d,d). Vp kna uwezekano wa kupata, na je zina tija? Naomben na ushaur wa ziada..
 
Wanajamvi, nam nahitaj ushaur wenu naplan ya kuomba course ya international relation,public adminstration na bachelor of project in planing,management and comm development, pale UDOM, Kwa score za 2 ya 12, hkl (d,d,d). Vp kna uwezekano wa kupata, na je zina tija? Naomben na ushaur wa ziada..

yap uwezekano wa kupata upo, u just try it, bt sijui cmpttxn itakuaje,coz mwaka huu naona watu wengi wame-perform fresh....mi nakushauri kozi yoyote with management ni nzuri....!!
 
wewe huna akili bana unalazimisha kusoma nini??? fanya mambo ya kilimo cha bustani na mbogamboga ndo kitakufaaa...Umesikia
 
Jamani mimi nimemaliza mwaka huu form 6 nilipa 4.19 pcb yaani fss. Sasa nimejaribu kuulizia vyuo mbalimbali. Cbe wanasema naweza kusoma diploma za Bba,marketing,procument na accountance. Mlimani walisema nisome cheti cha computer science ndo niweze kusoma diploma yake. Ifm naweza kusoma diploma ya It na computer science. Saut naweza kusoma masomo ya pre entry kwa miezi 3 nafanya test nikifaulu nisome dree ya Bba,Advanced diploma ya accountance au procument. Sasa naomba mnisaidie mawazo nichague kozi gani ambayo nikiendelea nayo itanitoa? Af naomba kujua ni chuo gani Dsm kuna masomo ya pre entry. Yaani unasoma kwa mienzi 3 unapiga test ukifaulu unasoma degree. Naombeni mnisaidie

Hakuna masomo maalumu yanayowatoa watu wee cha kufanya angalia masomo unayoyaweza yafanye vizuri, ukishamaliza ukijiajiri au kuajiriwa fanya kazi kwa bidii lazima yatakutoa. Amini ninayo kuambia hata ukifuatilia sana watu waliotoka wana background tofauti za masomo na wengine hawakusoma walitumia shortcut yaani kufanya kazi kwa bidii ndiyo msingi wa kutoka.
 
Ushauri unaotolewa na mheshimiwa Rev (Mungu anawaheshimu wanaomtumikia, so wanadamu tuwaheshimu najua Rev hutokasirika nikitumia neno mheshimiwa!) uchukulie kama changamoto, bila kuuma maneno, kwa form 6 unapopata div4 ni bora kutumia cheti chako cha f4. Mchepuo uliosoma ningekushauri kutokimbilia varsities kwani siku hizi wamekuwa na sheria kali sana na kwa hiyo jaribu kuomba nafasi za cheti au stashahada katika ama vyuo vya kilimo au uuguzi
Chuo cha ukiliguru Mwanza ni kizuri sana na kwa vile umeulizia masuala ya mishahara, walio katika kada za kilimo na mifugo pamoja na uuguzi siku hizi wanalipwa pesa nzuri sana na serikali
 
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration
 
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration

Jamani naona wengi wamemshambulia huyu kijana. Inawezekana kweli kabisa amefeli si kwa sababu ya uwezo wake. Unajua evaluation za ACSEE na CSEE ni za ajabu saana. Yaani mtu unasoma miaka minne au miwili then wanakuja kuconclude uwezo wa mtu in two weeks. kwahiyo kama umelenga page zile na ukakariri vilivyo basi hapo unaraha vinginevyo ni kilio. Wanajidai wanafuatilia continous assessment, nadhani ile ni kama ushahidi na haina msaada kwenye final exams. Kuna haja ya kuangalia tunaweza kufanyaje katika hili. Ndio maana vyuo vikuu vingi walifuta ule upuuzi wa term na kuadopt semister.
Sasa kama umefeli kwa bahati mbaya, basi pitia hiyo njia ya SAUT kaonyeshe uwezo wako haraka iwezekanavyo au urisit. Ingawa kiukweli ukimaliza hiyo degree ya SAUT siku ukiombwa cheti cha form six au ukiapply kazi wengine huanzia level ya chini kuona consistency. Kwahiyo anza na SAUT fanya vizuri, then unga kwenye chuo chenye reputations kubwa ufanye degree ya juu ili kufukia mashimo ya SAUT na form six.
 
Kaka huna nia nzuri na mimi. Kwa nini unatabiri kushindwa kila mara.


hivi we kwa nini mbishi ..ndo maana umefeli...wewe mambo ya shule huwezi nunue tenga uza vitana ,cotton buds na miwani ya jua...sio lazima usome
 
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration

huwezi kuchukuliwa bana wewe umefeli...labda nenda pale sinza makaburini kasome mambo ya microsoft word 2010 ndo kwalifikesheni za mtindo wako wanapokea wanafunzi
 
Hayo ndo mawazo ya great thinker au great foolish.

tatizo lako wewe unataka tukushauri mambo mazuri wakati umefeli...hapa tunakupa live bila chenga..wewe mambo ya kusoma huwezi kwa nini unakuwa mbishi lakini...PCB ulitaka kuwa Dr wa mambo ya wakina mama au? chukua unesi basi...lakini kwa maksi zako hizo wewe mambo ya kilimo ndo yanakufaa sana hasa kilimo cha mboga mboga lima matikiti maji mapera na hata ubuyu una hela sana....viazi pia msimu wa mfungo wa mwezi ramadhani,na pia fuga kuku wa kienyeji maana chipsi zinalika sana na vijana wa shule hasa mabinti ...
 
Huna sifa za kujiunga na diploma wa degree FSS kwa lugha nyngne umechemka. Nakuomba urudie mtihani na uache mchezo na kusoma. Sifa za diploma walau uwe na princple 1 na subsdiary. Pre entry uwe na prncple 2. Degree prncple 2 kwa sayans icwe chn ya point 2.5 cut of, Art icwe chny ya 4.5 cut of. Hvyo vema ukarudia au soma ngaz ya Cheti
 
hizo dhalau kama huna mawazo ya kujenga afadhali ukaacha hii sijaipenda

Sasa hujapenda nini mkuuu unadhani nesi anatakiwa kuwa mwanamke tu . Unaweza kukuta uiwa nesi mwanaume uwezkan wako wa kupata ajira unakuwa mkubwa zaidi kuliko wanawake. Nimekupa ushauri huu sababu kidogo uliingia darasani na una abc za pcb. From nursing unaweza kujiendeleza zaidi. ohooooooo

Same kama ukienda magogoni na kusoma mambo ya secretarial course. From thed ujafunza mambo ya administration . Usdhani ukizana kwa kuwa secretary huwezi kusonga mbele.

Usiwe na mawazo mgando Nesi wamaume na masekrtary wanaume wapo wachache na wanahitajika wengi. AAcha kutafuta shule.course zenye majina mazuri bila kujua future na outcome yake
 
Hayo ndo mawazo ya great thinker au great foolish.

Kijana tafadhali acha nyodo. Umeanzisha hii thread kuomba ushauri. Sasa badala ya kutakafari ushauri uliotolewa na watu unawaita great foolish. Hii inaonyesha huna heshima kabisa. Probably ndio maana ulipata hiyo division 4 due to lack of respect. Mtu mwenyewe umejiunga jana halafu unaleta nyodo na division four yako. Unafikiri wanaochangia humu nao walifeli kama wewe? Kuwa na heshima kijana. Enzi zetu ulikuwa ukipata division three form six ni kwenda kulima tuu. Leo una division four bado unazungumzia kwenda kusoma vitu wanavyosoma wenye division one. Kumbuka wengine humu ni waajiri so wanakupa vitu live.

Kwanza kwa nini umepata division four? Kuna sababu zozote za msingi au ulikuwa unacheza tuu shuleni? Kwa nini ulisoma PCB? Ulikuwa na malengo yoyote ya kusoma hiyo combination? Kwa nini sasa unataka kubadilisha na kusoma marketing, procurement na accountancy? Nini kimekusukuma ubadilishe?

Wadau wamekupa options nzuri. Badala ya kuwakashifu is better uchague option ambayo unaona inakufaa. Kama hazikufai ziache hapa hapa, watakuja wengine na tutawaelekeza. Options ilizopewa kulingana na qualifications zako ni pamoja na:

1) Kilimo - siku hizi hata wasomi wameamua kurevert kwenye kilimo. Ni bora ungeuliza kilimo cha aina gani badala ya kudharau kilimo. Unajua kilimo cha miti wewe?
2) Unesi - because inarelate na combination uliyosoma form six. Kuna nchi kibao zina uhaba wa manesi na wanalipa vizuri kweli.
3) Kurudia/resit - hii itakusaidia kutengeza cheti chako na kuomba kozi za juu zaidi
4) Computer certificate

Mimi ningekushauri uresit. Why? Kwa sababu waajiri makini siku hizi wanataka watu wenye excellent track record. Imagine unaomba kazi ukiwa na degree lakini form six ulipata division 4 ya points 19? Unless utakuwa na sababu za msingi za kupata division four, mwajiri makini ataanza kuku-question.

Lakini la msingi heshimu michango ya watu hata kama ni mibaya. This is JF
 
Nime apply cbe wakinichukua nitasoma diploma ya bussiness administration

Ok ukimaliza diploma unasoma Aadnaced diploma sio.????? Mimi nimekupa ushauri mzuri we umeona dharau kutoka na PCB yako ungeeda unesi ungeaza kula mshahara mapema alafu ungewezza kujiendelza tena kwa mikopo ya serikali. Kuna sekta ukiwepo unaweza kupata sponsorship hata za nje na hata za serikali. Sekta zenyewe ni elimu na afya. Do u get it.....???????

Ukizuga kwenye ualimu au ukiwa nia ya kusoma unaweza kupata scholarship kirahisi za nchi kama sandnavia. ukakuta from DIV IV to a teacher to degree from scholarship. Lakini ndo hivyo hutaki ualimu hutaki Unesi wakati una DIV IV. may be wewe ni mtoto wa kigogo.

Anyway way wewe mwenyewe ni muamuzi wa maisha yako. Get as may advice as you can lakini mwisho wa siku mwenyewe ndo kuwa muamuzi.
 
Back
Top Bottom