duwa zenu watu hawanipendi jf

ma friends watu wengi hawanipendi kwa ukweli wangu wanataka nitume uwango ambao hauna faida na mimi

Tuliza akili dear. Accept challenges as the way of learning. Kupendwa ama kuchukiwa ni mapito tu!! Well.......have a nice day!
 
wameona ina mimaji mengi wakapuuza

Kuwa label wenzenu kwa namna hii sio fair jamani, au kwa sababu ya kwenu hatuyajui??? Mtaudanga umma tu hapa lakini Mwenyezi Mungu hamuwezi kumdanganya kamwe!!! Laiti kama ya watu yakianikwa hapa......nina imani huyu dada atakuwa na afadhali!!
 
Ushafikishwa kileleni au bado?
MAPROSOO.

Mkuu hii inahusiana nini na topic?? Endeleeni tu kumjudge mwenzenu ila kaeni mkijua kuwa......msihukumu nanyi msije mkahukumiwa, na hicho kipimo mkitumiacho kuwahukumu wenzenu ndicho hicho kitakachotumika kwenu!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom