Duuuuh!! Sekretarieti ya Ajira wameita tena kwenye usaili trh 20 Sept-% Oct 2012

mossad

Member
Mar 20, 2009
63
3
Wanajamvi wenzangu, nimeona tangazo la kuitwa watu kwenye usaili katika sekretarieti ya ajira ya utumishi wa umma usaili utakaofanyika kuanzia tarehe 20 September 2012 hadi 5 October 2012. Kwa wale wote mliiomba mnaweza kupitia pitia katika tovuti yao ila naona wameita baadhi ya fani na sina uhakika kama ni zile nafasi 2285 za May au ni nyingine? Pia nimeona wameitwa kwenye usaili watu 730 walioomba nafasi ya ukatibu tarafa, hivi wanahitajika watu wangapi hadi waitwe idadi yote hiyo? ..........................Kaaaazi kweli kweli!!!!
 
Hizi nafasi hazihusishi zile 2285 za May mwaka huu, maafisa tarafa walikua wanahitjika 145"
 
Back
Top Bottom