Ndiyo una hoja...ni yale yale ya kusema kuwa tuna masupamaketi makubwa tena yana bidhaa za quality nzuri ilihali wananchi wengi hawana uwezo wa kuingia na kununua kilichopo...your absolyutli right but ina maana hawa wa south hawafaidiki kwa lolote? hata barabara nzuri .....sijafika south sijui kama kuna barabara mpaka vijinini au uzunguni tu...sijui vyou vyao wanasomaje? wanalipa kama sisi au inakuwaje? mbali ya huduma za afya na za kijamii kama makji safi! je maisha ya mswahili wa tz au malawi yanafanana na mswahili wa south africa?Weusi wa sauzi wanaongoza siasa lakini sio uchumi.Kutawaliwa na wazungu pays alot but, who gets the lion share?
badala ya kwenda kuwahamasisha watu watoe viongozi wabovu we unafikiria kutawaliwa kisa uwanja wa mpira au sijui hayo magorofa pembeni. Kipi bora kujijenga au kujengewa kwa masharti? watu bwana sometimes kabisa unafikiria kutawaliwa na mzungu mwenzetu.
Waarabu ni sawa tu na Wanyamwezi,Wazungu wao ni tofauti wana akili na maarifa na wameendelea sana.Bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu labda tungekuwa kama Sauzi.sijuio sisi tulitawaliwa na mwarabu?
Unapinga tu bila kuangalia fact, hata kama mtu mweusi ana uwezo wa kiakili labda hata zaidi ya Nzungu, lakini maendeleo ya kweli kwenye nchi ni lazima Mzungu awepo, hiyo ndio fact ya dunia ya leo.
Hivi ina-maana fact ya maendeleo ni kuwepo kwa wazungu, hivi unajua siasa zao zilivyokuwa azina mchezo wa kijinga kijinga kama sisi. Tuna raisi ambae ajui kwanini sisi maskini uchaguzi umebakia miezi michache leo kachukua form na atashinda kwa vishindo. And how do you expect any changes, kama raisi mwenyewe kaitoa nchi hipo kwenye uafuaeni kidogo na kuipeleka katika mahala ambapo inflation it seems is beyond control, ajira wawekezaji wanaona bora walete wageni, mashirika ya umma wapiga mahesabu kutoka bangladeshi, viongozi awana imani na wananchi kuleta maendeleo wanaona bora ije hiyo EAC. Bado mnaenda mpa miaka mitano mingine, hivi unajua Cameron anacho kifanya sasa kupunguza madeni yao si sawa na yetu kabisa kaka the're are talking about £476 billion.
Bado ana challenge za kuakikisha ajira hazipotei kiivyo na aje na mbinu mpya za kuleta ajira kwenye cuts zake, kukuza uchumi wao kwa namna nyingine without government spending. Hayo mambo haya itaji mzungu yanahitaji kichwa tu apparently JK ana. Hata wazungu wanaelewa ni kichwa tu sometimes despite their racist approach inapobidi muweke mwenye yeyote atakae leta maendeleo a good example is 'Mr Tidjane Thiam' its for you to figure his job.
Sisi tunauwezo kishinda wao tuna ardhi kubwa mno ya kututosha wote the next phase is the right minds not JK wala mzungu ndio tuanze kuangalia vitabu vya facts. Ni kitu ambacho if im honest huelewi hizo facts zenyewe (based on your awareness of facts) it would be point less for me to argue them, it likes 'kumpigia mbuzi gitaa', pointless and waste of time. Tusione vinaelea vimeundwa embu tujifunze vimeundwaje na si kupenda vitu rahisi rahisi tu na quick fix.
Waarabu ni sawa tu na Wanyamwezi,Wazungu wao ni tofauti wana akili na maarifa na wameendelea sana.Bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu labda tungekuwa kama Sauzi.
yes ..ndo maana vape town ni miongoni mwa Majiji bora duniani
badala ya kwenda kuwahamasisha watu watoe viongozi wabovu we unafikiria kutawaliwa kisa uwanja wa mpira au sijui hayo magorofa pembeni. Kipi bora kujijenga au kujengewa kwa masharti? watu bwana sometimes kabisa unafikiria kutawaliwa na mzungu mwenzetu.
we should at least let germans in this country to stay longer, lets face it we cant do it ourself!!!!!!!!!!!
Ni kweli Bona, this could be another Berlin of Africa,
Waafrica tumeproove hatuwezi wenyewe, tazama mfano wa Haiti na Dominican republic, kwa miaka 25 baada ya Uhuru, hizi nchi zilikuwa moja, na kwa bahati nzuri chini ya Mwafrika, baadaye the Mulatos wakajitenga, wakawapush waafika in the North (Haiti). Sasa hivi ukienda Dominican republic, unaweza ukadhani uko Europe while it is opposite in the other side (Haiti) hii ni proof tosha kwamba Hatuwezi, tuna tatizo donda ndugu. let's admit the facts