Duuu!!!wakwe wa kichanga!!!

Vitendo

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
582
103
Jamaa 1 Alimpa mimba binti wa kichaga,Baba m2 alikasirika na Akapanga kumuua jamaa,Jamaa Akam2mia salaam mzee kwa kumwambia,Mzee kweli mie ndie niliempamimba binti yk,na kusema ukweli cna mpango wa kumuoa,lkn natoa Ahadi Akizaa mvulana nitakupa bilioni1 na mtoto nitamchukua,Na Akizaa msichana nitakupa milioni60na duka kariakoo,lkn mzee ikitokea bahati mbaya mtoto akafa itakuaje?MZEE Akajibu:- Aisee babaangu itabidi umpe mimba nyengine hakuna jinsi. Hahaha.
 
Hivi hili la wazee wa kichaga kubanjua wake za watoto wao ni mila ya kweli?
 
Tena babangu ukipata mtoto wa kike usikate tamaa mpaka upate wa kiume sawa babangu aikambe
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom