Duuh yamenikuta!!.

kwanza huhitaji kuuliza kwamba huyo anamegwa nje halafu mbaya zaidi yaelekea jamaa wa nje ni fundi kuliko wewe. sasa chagua mawili kwanza umuache au kafanye mazoezi ili siku ukimmega hakikisha hadi anakimbilia kwa majirani! akirudi utaona anakupa shkamoo!
 
Hakuna haja ya kubrek na mwenzio jst gv hr tym and endelea kuchunguza pengne tayari ana mtu mwngne ambaye anampa faraja mpya so ukishsajua thn ndo chukua maamuzi ili usije pata maradhi
 
Mambo ya kupeana space ya nini wakati msichana anaonekana kabisa hampendi jamaa, yaani nakwambia kaka yangu mie ikitokea nimeanza kumchoka au kumchukia mpenzii wangu huwa hata akiongea naona ananipigia kelele, mapenzi yanaisha kabisaaaa na hii ni kwa vile tangu mwanzo mapenzi yalikuwa ya kujaribisha hakukuwa na ile real love sanasana, mie nakushauri wewe anza maisha mapya tu, maana umpe mtu space halafu huo mda wewe uwe umeshika mchuma tu hukai kwenye basi, ukizingatia ndo kwanza uko chalinze basi linaenda mwanza, inahusu vipi, TAfAKARi
 
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.

mwambie hivi: kwa vile yeye aliwahi kusema lakini wewe ulianza kuboreka kabla yake, asijifanye wa mana, mambo ya kupigiana magoti yamepitwa na muda, stress zimejaa hewani usikubali mtu akuletee nyegine zisizo na misingi.:redface:
 
kwanza shukuru kakuambia,coz asingesema usingelijua hilo.hilo linawezekana kwasababu tulio wengi hatuna lugha nzur kwa wapenz wetu/mume/mke hasa ukishakuwa umemzoea sana.hebu jaribu kujichunguza wap unakosea kabla hujavusha mawazo ya kishetan
Asante sna wangu ila huwa yeye anakuwa na mamood yake ya ajabu ajabu tu.
 
Muombe msamaha kwa kumwambia kuwa haukufahamu kuwa uwepo wako na mazungumzo yako yanamkera then kwa upole na utaratibu muombe akuelezea nini hasa kinachomfanya akuone unamboa. Kisha muombe ushauri wa nini unachotakiwa kufanya ili usim-boe mwenzio.
Pole ni mambo ya kawaida ktk mahusiano
Nimuombe msamaha kwan nimemkosea nini, ila kuongea nae taratibu nimefanya ila ndo kwanza anasema kuwa nazidi kumkera
 
kwanza huhitaji kuuliza kwamba huyo anamegwa nje halafu mbaya zaidi yaelekea jamaa wa nje ni fundi kuliko wewe. sasa chagua mawili kwanza umuache au kafanye mazoezi ili siku ukimmega hakikisha hadi anakimbilia kwa majirani! akirudi utaona anakupa shkamoo!
Mi ndo mdada nateseka labda uniambie kuwa yeye ndo anamega nje japo sitaki kuamini.
 
Wanajf wenzagu,
yamenikuta usiku huu hapa hata lepe la usingiz sina labda mkinisaidia japo mawazo yenu tu labda nitalala.
shemeji yenu yaan hapo namaanishisha mwenza wangu... yaani nadhan mmenipata. Anasema kuwa kila akiongea na mimi
anazidi kuboreka, au neno lingine ni kuwa mimi namboa kila nikiongea nae, yaani mimi namkera kila nikiongea nae. jamni simuelewi huyu mtu ndo visa tu au kunamwenzagu kamdatisha au vip. nipeni japo mawazo kidogo ili nilale mwenzenu.

Ma'swagga it has been long dear... Mzima wewe? All is good? Well B2T

Hadi kafikia kusema hivo kweli kachoka.... Ni vizuri lakini kawa muwazi thou uwazi wa hivo wauma bana, Angeweza i sugar coat kidogo... Enways kikubwa inategemea mko ndani ya mahusiano mda gani... Wapenzi wana tabia ya kuchokana... Unakuta NDIO Wapendana ila tu wamechokana in the sense kua inabidi wapeane nafasi. Katika mahusiano sio nzuri kua pamoja kila mara hata kama mwapendana vipi, inabidi yawepo na maisha mengine nje ya mahusiano yenu.... Mahusiano yenu yakiwa ya kufuatana kama kumbi kumbi... in time lazima mmoja wenu ajisikie suffocated. Hata hivo kuepusha guess work ask him alikua na maana gani.... Kua hataki kua na wewe? Does he still love you? Does he love you but needs some space?

Pole saana mdogo wangu, all the best katika kuweka sawa pande hizo....
 
Kweli ni mda sister sijakupata, nilikumic
asante kwa ushauri ila ilo jambo sio siri limenimuma sana, ila naogopa kufanya maamuzi magum ndo maana naendelea kujipa moyo labda kalopoka tu.
 
Pole dear... Nafurahi umebadili jina, Merrita jina zuri... Umeona lilivokua lachanganya eeh? Pole saana. Do take care....
 
nililiona hilo ndo maana nikalifanyia kazi, thanx again
 
Back
Top Bottom