Duuh! Hii sasa kali.. kila siku jipya kuhusu Lulu

sexologist

JF-Expert Member
Dec 5, 2010
2,283
976
Msanii anayehusishwa na kifo cha Kanumba, almaarufu kama Lulu kwa jina la kiofisi, inasemakana anamajina mawili ya kikristu. Huitwa Elizabeth Michael kama ambavyo huwa anajitambulisha, na jina jingine ni Diana Elizabeth ambalo si maarufu. Akijibu swali la Hakimu, wakili wa Lulu a.k.a Elizabeth a.k.a Diana, bwana Fungamtama alisema ni jambo la kawaida hasa kwa wakristu kuwa na majina mawili.

My take: ni kweli huwa tuna majina mawili, mara nyingi ni jina la asili/kiluga na jina la kubatizwa ambalo mara nyingi huwa ni la kizungu. Sasa hyo ya Lulu inaonyesha utata na weledi mdogo wa mawakili wetu kutetea uongo. Wanaweza kusababisha hukumu mbaya kwa huyo binti.
 
Ni kweli cha ajabu ni kipi mtu kuwa na majina mawili?

hiyo ni kweli kabisa kwa wakristo kuwa namajina mawili ni kitu cha kawaida.Unaweza ukawa na jina la nyumbani (ukoo) ukaenda kubatizwa Padri akakataa lazima utoe jina la Kikristo. Sidhani kama huyo binti hilo jina si lake, inawezekana nilake ila halitumiki na mwenyewe hakulitumia, ila yeye na nduguze wanalifahamu jina hilo. Kwa wenzetu wahaya mtoto anaitwa Koku padri kamwe hawezi batiza jina hilo koku lazima mtoto atafutiwe jina lingine la kikristo au lawatakatifu lakini nalo hilo linakuwepo kwenye birth certificate.
 
labda kwakichaga Diana inamaana yake linatumika kama jina la ukoo/(asili) si mbaya pia kuwa na majina mawili.
 
Msanii anayehusishwa na kifo cha Kanumba, almaarufu kama Lulu kwa jina la kiofisi, inasemakana anamajina mawili ya kikristu. Huitwa Elizabeth Michael kama ambavyo huwa anajitambulisha, na jina jingine ni Diana Elizabeth ambalo si maarufu. Akijibu swali la Hakimu, wakili wa Lulu a.k.a Elizabeth a.k.a Diana, bwana Fungamtama alisema ni jambo la kawaida hasa kwa wakristu kuwa na majina mawili.

My take: ni kweli huwa tuna majina mawili, mara nyingi ni jina la asili/kiluga na jina la kubatizwa ambalo mara nyingi huwa ni la kizungu. Sasa hyo ya Lulu inaonyesha utata na weledi mdogo wa mawakili wetu kutetea uongo. Wanaweza kusababisha hukumu mbaya kwa huyo binti.
hamna lolote mi mwenyewe naitwa la kizungu la kwanza................,la kizungu la pili ni agness, then la tatu ni la kilugha then la ukoo. kwa hiyo inawezekana kabisa, hilo la pili halitumiki kabisa, natumia la kwanza zaidi na mume wangu ananiita la kilugha zaidi. so it is very posible.
 
Msanii anayehusishwa na kifo cha Kanumba, almaarufu kama Lulu kwa jina la kiofisi, inasemakana anamajina mawili ya kikristu. Huitwa Elizabeth Michael kama ambavyo huwa anajitambulisha, na jina jingine ni Diana Elizabeth ambalo si maarufu. Akijibu swali la Hakimu, wakili wa Lulu a.k.a Elizabeth a.k.a Diana, bwana Fungamtama alisema ni jambo la kawaida hasa kwa wakristu kuwa na majina mawili.

My take: ni kweli huwa tuna majina mawili, mara nyingi ni jina la asili/kiluga na jina la kubatizwa ambalo mara nyingi huwa ni la kizungu. Sasa hyo ya Lulu inaonyesha utata na weledi mdogo wa mawakili wetu kutetea uongo. Wanaweza kusababisha hukumu mbaya kwa huyo binti.

acha ku conclude mambo usiyoyajua kama hujafanya research!!.sasa hapo weledi wa wakili unaingiaje ilhali thats the original birth certificate??Na kwa kukuelewesha tu sisi Wakristo ni kawaida mtu kuitwa DianaRose,SallyRose,geneviva etc..sasa cha ajabu nini??mbona hujashanga Asha-Rose ??ebooo..usituchafulie taaluma zetu..Fungamtama ni kati ya Mawakil wazuri hapa Tanzania kwa taarifa yako
 
Hebu wenye kazi zao tuwaachie wamalize hiyo kazi ya kuthibitisha huo utata then mahakama itatuambia kilicho sahihi. Wakili yeye kafanya search yake. Na DPP atafanya search yake mwisho wa siku tutafahamu nini kilitokea. Kwenye hii kesi kuna mafunzo mengi tutajifunza. Kwa Tanzania kuna mambo mengi yanayohusu majina ya watu - mengine wakati wa kubatizwa, wengine wakiolewa hubadilishwa majina, wengine wakigushi nyaraka kama pp, vyeti, kurudia shule, yote hayo tuwaachie wajuzi kwenye hii kesi tutafahamu tu. Kuna njia nyingi tu ya kupata ukweli, "I hope" hicho cheti cha Dyna kimetolewa na Vizazi na vifo. Hata kama kuna nyaraka ambazo amepatia pp au kufungulia account benki zitaonyesha nini haswa jina lake. Na umri wake ni upi. Ila ninachosikitika tu kuwa hizi habari za utata wa kauli yake, baba, mama zinatuonyesha jinsi gani hawa wazazi hawakuwajibika katika malezi ya huyu mtoto.
 
acha ku conclude mambo usiyoyajua kama hujafanya research!!.sasa hapo weledi wa wakili unaingiaje ilhali thats the original birth certificate??Na kwa kukuelewesha tu sisi Wakristo ni kawaida mtu kuitwa DianaRose,SallyRose,geneviva etc..sasa cha ajabu nini??mbona hujashanga Asha-Rose ??ebooo..usituchafulie taaluma zetu..Fungamtama ni kati ya Mawakil wazuri hapa Tanzania kwa taarifa yako

Theresia Mahimbi,

Kwa kuwa umejipambanua kwamba taaluma yako ni sheria basi nadhani una uwezo mkubwa wa kuhoji badala ya kupokea tu habari. Kama ndivyo basi vizuri.. Lakini mama hebu tulia, tafakari na usome tena thread yangu halafu uone kama mifano yako ni relevant.. Kuhusu conclusion, yes yaweza kuwa hukutaka nikonkludi hvyo, lakini ndio mtazamo wangu.

Asante!
 
hiyo ni kweli kabisa kwa wakristo kuwa namajina mawili ni kitu cha kawaida.Unaweza ukawa na jina la nyumbani (ukoo) ukaenda kubatizwa Padri akakataa lazima utoe jina la Kikristo. Sidhani kama huyo binti hilo jina si lake, inawezekana nilake ila halitumiki na mwenyewe hakulitumia, ila yeye na nduguze wanalifahamu jina hilo. Kwa wenzetu wahaya mtoto anaitwa Koku padri kamwe hawezi batiza jina hilo koku lazima mtoto atafutiwe jina lingine la kikristo au lawatakatifu lakini nalo hilo linakuwepo kwenye birth certificate.

...wewe acha acha uongo KOKU ni kifupi cha jina KOKULEBA AU KOKUBANZA AU KOKUGONZA Hakuna birth certificate iliyoandika KOKU kama ulivyosema,inakuaje jina hakulitumia liandikwe kwenye birth cert. na litofautiane na majina ya vyeti vyake vya shule? huyu mwanasheria arudi darasani hajui kitu atamsababishia kifungo huyo mtoto
 
Normal. Marry-Hllen, Anna-Brenda, Diana Rose, nk! Hata wa kwangu ana majina mawili ukiacha la kwangu na la ukoo. Moja la kwake na jingine laweza kuwa la Bibi.
 
Kweli kabisa hata mimi jina langu niliobatizwa silitumii sana na wala sijalizoea!!
 
Back
Top Bottom