Duu watoto wengone Noma

ludoking

Senior Member
Oct 5, 2008
124
71
Kuna mtoto alikuwa anamsimulia mama yake story. Akasema “mama, wakati niko tumboni kuna nyoka alikuwa anaingia ananitishia anatoka. Halafu ananitemea na mate. Halafu analegea na anatoka. Mama yake akujuta kwa nini alifanya tendo la ndoa akiwa mjamzito. Mtoto akamwambia mama usijute, kwani ningemng’ata si angekufa?
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha uwiiiiiiiiiiiiii hahahahahahahaha mbavuuuuuuu zzzzaaaaaaaaanguuuu uuuuuuwiiiii!!! Hahahahahahaha!!!! Dah!!
 
Sasa vitu kama hivi watu huwa mnawaza nini???? Anyway very sad kumtishia mtoto. Maana nyoka hata kama amekufa anatisha, hata avue gamba bado tu anatisha sasa je anapotema na mate, analegea na pengine si mara moja. Mtoto yuko very brave. Inasikitisha.
 
Back
Top Bottom