Duu, kumbe Dar es Salaam kuna shule inaitwa YUSUFU MAKAMBA PRIMARY SCHOOL!!!

Hahaha majina yote yaitwe shule zetu ila Makamba hapana, binafsi siwezi kumpeleka mwanangu katika shule hiyo, Makamba yuko shallow sana mpaka jina hilo lanitia shaka mie
 
Tatizo ni jina au wanafunzi au wizara au mwenye jina??????????????????????????
 
UNASHANGAA SHULE WAKATI CHUO KIKUU CHA DODOMA KINAITWA JAKAYA KIKWETE UNIVERSITy;HIZO NI SHULE ZA MIJINGA NA ZINATOA MAMBUMBUMBU
 
Back
Top Bottom