Dunia yatimiza wakaazi 7BILIONI

Noti mpya tz

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
974
244
Jamani hii imekaaje? UN imesherehekea mtoto aliezaliwa huko Ufilipino ambae ametimiza idadi ya watu bilioni 7 duniani, Maswali machache.
1. Kwanini UN wakaamua kufanya maadhimisho hayo Philipin wakati kuna nchi zenye idadi ya watu wengi zaidi duniani kama India na Uchina?
2. Idadi ya watu duniani imeadhimishwaje? Mi sijasikia juhudi za kuwahesabu watu, mfano Tanzania sisi tunatarajia kuhesabiwa next year baada ya ile sensa ya mwaka 2002.
3. Mtoto alie MARK 7BL people anawakilisha nini kimataifa ukiacha tu kuwa yeye ni mtu wa bilioni 7 kuzaliwa.

Nwakilisha
 
chekecha... Chukua hatua. Unadhani vituko ni TZ tu?
Na usijeshangaa ukaambiwa ni mkakati mmoja wapo wa feemason.
 
Back
Top Bottom