Dunia sio mbaya,ila binadamu ndo wabaya.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Kutoka huko mkoani Mara,mtoto Samwel Musa yupo hatarini kupofuka macho yake. Amekumbwa na hatari hii kutokana na mateso ya mama yake mlezi ambaye amekuwa akimpaka pili pili machoni kama adhabu pindi akifanya kosa.Mtoto huyu aliamua kukimbilia mitaani na hatimaye akabahatika kuchukuliwa na kituo cha kulea watoto yatima.Lakini hali ndo kama hiyo,macho yanamuuma muda wote huku akitokwa na machozi.
 
Kutoka
huko mkoani Mara,mtoto Samwel Musa yupo hatarini kupofuka macho yake.
Amekumbwa na hatari hii kutokana na mateso ya mama yake mlezi ambaye
amekuwa akimpaka pili pili machoni kama adhabu pindi akifanya
kosa.Mtoto huyu aliamua kukimbilia mitaani na hatimaye akabahatika
kuchukuliwa na kituo cha kulea watoto yatima.Lakini hali ndo kama
hiyo,macho yanamuuma muda wote huku akitokwa na machozi.

polisi na ustawi wa jamii wanajua?
 
Kutoka huko mkoani Mara,mtoto Samwel Musa yupo hatarini kupofuka macho yake. Amekumbwa na hatari hii kutokana na mateso ya mama yake mlezi ambaye amekuwa akimpaka pili pili machoni kama adhabu pindi akifanya kosa.Mtoto huyu aliamua kukimbilia mitaani na hatimaye akabahatika kuchukuliwa na kituo cha kulea watoto yatima.Lakini hali ndo kama hiyo,macho yanamuuma muda wote huku akitokwa na machozi.

najua nitashambuliwa kidogo hapa na wana Beijing, ila kiuhalisia naona wanawake ni wakatili linapokuja swala la kulea watoto ambao si wao kuliko walivo wanaume..., jaribu kuchunguza sampuli chache ulizowahi kukutana nazo za malezi ya mama wa kambo, au mama mlezi kama huyo, then jaribu kulinganisha na uleaji wa baba wa kambo au baba mlezi utajua nazungumzia nini... mara nyingi wanawake ni wakatili zaidi.. ila si wote wapo ambao ni wema sana... nazungumzia kiujumla tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom