Dunia adaa, Wanasana AKA kung'ang'ania Baada ya kuiba penzi la watu.

Lakini bwana maisha kitendawili sana, huwaga tunasema usichopenda kutendewa usitende na kile umtendeacho mwenzio ndivyo na yeye anavyokutendea. Sasa waweza kukuta mwenye mali naye ni mkware balaa na kwakua anajua kwamba na mwenzie atamtendea hivyo basi akaamua amwekee tego lol??

sasa imekuwa aliyekutwa na ngozi ndiye mla nyama jamani haya maisha ni fumbo sana kwa mwanadamu. Smile nakupenda sana kwasababu ya msimamo wako. Nakuombea sana uendelee hivyo.
 
Last edited by a moderator:
huyu, jamaa kamfanyia kitu mbaya sa mkewe, si amini kama anampenda kiivyo, hiyo ni sawa na kumkomoa na kumdhalilisha mbele ya jamii.

kwani ni laziwa kuwa pamoja?
 
nyie mna uhakika gani huyo mwanaume/mume ndio anahusika ...na huu upuuzi?
 
nyie mna uhakika gani huyo mwanaume/mume ndio anahusika ...na huu upuuzi?

hujaona/sikia jamaa(Mume) anataka 12000Ksh awatoe? Mfumaniwa alibidi atoe ATM card na PIN, jamaa alipopewa tu chake balaa likaisha
 
mke wa mtu sumu,madem wajazana kibao pesa yako tu,kwa nini uende kwa mke wa mtu?
 
Kiusahihi "Dunia hadaa" na si "adaa" !
Kila mwenye ngoma yake hana pa kuicheza tofauti na hapa duniani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom