Dume na Demu hospitalini

Washawasha

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
16,652
13,077
kuna njemba ilienda hospitali na demu wake,mazungumzo kati yao na Dr yakawa hivi..Dr:mnasumbuliwa na nini?Dume:Dokta naomba utuangalie tunavyofanya mapenzi..Dr:hamna tatizo mnaweza mkafanya...bac wakavua nguo zao na kuanza kuchakachuana .Dr:mie sijaona tatizo lolote ktk ufanyaji wenu wa mapenzi,kwani nyie mnahisi nn mnapofanya mapenzi? Dume:sie tulikuwa hatuna sehemu ya kwenda kufanyia mapenzi ndio maana tukaja hapa
 
si wangeenda hata kwenye vyoo vya kulipia sh 200 kama walikuwa hawana hata hela ya gest????????????

haaaaaaaaa
 
Ina maana dada hakugundua wakati wa warumi kuwa funguo microsize. Au hata warumi hairuhusiwi kwa maadili, ok basi hakukuwa hata na 'salamu ya uzio kabla wakati wa uchumba'? hapo ndo wadada huwa wanajua kama ni NMB size au......

KEY:

usiniulize warumi ni nini mi thijui kinglesa.

micro size

fence: hagg na nini au? IQ Vipi bana?
 
kuna njemba ilienda hospitali na demu wake,mazungumzo kati yao na Dr yakawa hivi..Dr:mnasumbuliwa na nini?Dume:Dokta naomba utuangalie tunavyofanya mapenzi..Dr:hamna tatizo mnaweza mkafanya...bac wakavua nguo zao na kuanza kuchakachuana .Dr:mie sijaona tatizo lolote ktk ufanyaji wenu wa mapenzi,kwani nyie mnahisi nn mnapofanya mapenzi? Dume:sie tulikuwa hatuna sehemu ya kwenda kufanyia mapenzi ndio maana tukaja hapa

Duh hii noma lalalalll ooohlalalaa , dah bonge la ujanja
 
si wangeenda hata kwenye vyoo vya kulipia sh 200 kama walikuwa hawana hata hela ya gest????????????

haaaaaaaaa

Kwa dokta hamna cha wa kiume au wa kike ila vyoo vya kulipia huwa vimetenganishwa kuna cha kiume na cha kike, huenda hata jamaa alishafikiria hilo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom