Dume la mende siogopi mishimo

ha haaa!!! dume la Mbegu lisilo ogopa mishimo linatafuta Mchumba (MCHUMA)
 
Kwenye mishimo yoote ulopita hadi ukawa na ujasiri wa kujitangaza hujapata tu?
 
Nenda kimboka pale Buguruni wapo tele wewe si dume la mende lisilo ogopa Mashimo!
 
kinondoni manyanya, njia panda ya Leaders Club/Jollies wamejaa tele. Or kama ni mbali njoo hapa American Chips ujichagulie matatizo yako!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom