Dully Sykes- Mikasi with Salama

Mkasika

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
391
155
[video=youtube_share;ZzXyrhFjeBY]http://youtu.be/ZzXyrhFjeBY[/video]
 
Nilisikia swali la mwisho aliloulizwa na Salma kuwa "inakuwa vipi mbona na wewe watu hawakuamini amini kama vile nawe b w a b w a? Dully kajifanya hajaelewa vizuri akajibu vingine
 
yaani salama ni wa kumwambia skykes hivyo, wakato yeye mwenyewe bwabwa punga, angesema labda kama yeye dully yuko bwbwa kama yeye salama mwenyewe.
 
ila kijamaa ninavyoimba huwa kinalembua na kutengeneza midomo kama kidemu vile, yawezekana kipunga kweli.....yaani uchafu h uu umepitiliza kuliko hata kunyewa na kunguru wa zanzibar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom