Duka la Mariedo na bidhaa bandia

Watanzania sasa hivi hatuko tena kwenye ujamaa na kujitegemea,watu wote sawa,usiwe na mishahara miwili au nyumba ya kupangisha,mzee mwinyi alishatutoa huko hata kama usingizi ni mtamu kiasi gani muamke sasa!Kuna watu wanakula mshahara take home 7 million na babake ni mkurugenzi wa TRA,NSSF,GAVANA WA BOT,WAZIRI N.K. Unategemea wata shop wapi?maduka kama meriedo ni lazima yawepo kwenye miji mikubwa kwa kuwa watu wanatofautiana so hatuwezi wooooote kujazana karikakoo na manzese jumamosi,wengine muende huko na huku meriedo muwaachie wengine ili tutofautiane!mambo ya binadamu wote ni sawa ilikua enzi za nyerere na sokoine ambae waziri mkuu kama yeye alikua na pea mbili za viatu,safari buti na skuna!
 
JAMANI UNUNUZI KATIKA TAASISI ZETU UNAFUATA "minimum procurement procedures" na sheria za manunuzi ya UMAMA za PPRA, na kila mtu anajua sheria hii ilivyoboreshwa hivi karibuni.....!! sasa kama wameshinda tenda husika sioni tatizo linatoka wapi....!! kuna vitu vingi vya kujenga tunavyotakiwa



---------------////////////////////////////////////.............................................

Hindi Movies Online
Bolllywood Actress Wallpapers
 
Alafu kuna haja ya watu kudeclare conflict of interests haiwezekani wewe ni mhusika alafu kampuni yako inakwapua mradi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom